Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii picha ya Dar hunimaliza yangu yote atrue defination of shithole
Dar-es-Salaam%2C_Tanzania.jpg
ati those ain't slums.....Hahaha
 
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
dar-es-salaam-city-center_hpghncta_thumbnail-small01.jpg
 
lol....slums behind....proceed with caution
How do you know?, slums are poorly built house, you must see them, aerial views gives you only arrangement of the house, you can't see the quality of houses, whether they have toilets or not, and how is sanitation, every thing is superb there.
 
so those are well built....nkt
 
Now i understand why the president in Tz is literally treated like a god. TZ you guys are doomed ,this can be compared to the dictatorship that existed in the colonial times.no difference.
sasa naelewa mbona kina ichoboy01 huimba sifa za magufuli kutwa kucha "asante magufuli" kana kwamba anawasaidia badala ya kuwatumikia. Kenya we are way ahead politically. tunakashifu rais akikosea, na kuwepo kwa upinzani inafanya rais hata asilale ila afanye kazi.
trend14-20.jpg
 
so those are well built....nkt
Because I have been there several times physically, I can confirm to you that, they are very good houses, please bring horizontal close photos, you will be ashamed and you will never post this photo again, I am sure you know that, that's why you don't like to use those photos that show details of Dar.
 
Now i understand why the president in Tz is literally treated like a god. TZ you guys are doomed ,this can be compared to the dictatorship that existed in the colonial times.no difference.
sasa naelewa mbona kina ichoboy01 huimba sifa za magufuli kutwa kucha "asante magufuli" kana kwamba anawasaidia badala ya kuwatumikia. Kenya we are way ahead politically. tunakashifu rais akikosea, na kuwepo kwa upinzani inafanya rais hata asilale ila afanye kazi.
trend14-20.jpg
😀😀😀
@ 'I think' 😀😀😀
 
How do you know?, slums are poorly built house, you must see them, aerial views gives you only arrangement of the house, you can't see the quality of houses, whether they have toilets or not, and how is sanitation, every thing is superb there.
haha blah blah blah, you dont need rocket science to tell what a slum is.
 
Now i understand why the president in Tz is literally treated like a god. TZ you guys are doomed ,this can be compared to the dictatorship that existed in the colonial times.no difference.
sasa naelewa mbona kina ichoboy01 huimba sifa za magufuli kutwa kucha "asante magufuli" kana kwamba anawasaidia badala ya kuwatumikia. Kenya we are way ahead politically. tunakashifu rais akikosea, na kuwepo kwa upinzani inafanya rais hata asilale ila afanye kazi.
trend14-20.jpg
Hahahahaha, ninyi mnajulikana kwa kupenda sifa lakini ni watu wa hovyo sana, unakumbuka kifo cha Jacob Juma?. Vipi kuhusu yule pastor kule kisumu alipotoa mahubiri kanisani kuhusu Uhuru Kenyatta kuhusika kuwaua wajalua kilichomkuta?.

Ukiondoa issue ya Lissu, huku Tanzania wanapelekwa mahakamani, huko kwenu mnawauwa na serikali wala haishughuliki kuwatafuta. Lakini kwanini mnapenda kulazimisha vitu ambavyo vipo wazi?, Kenya tops Africa in extrajucial and political assassinations, hiyo ni ripoti ya UN, kwanini mnapenda kujilinganisha na Tanzania katika demokrasia?, ninyi labda DRC au Cammeroon, hata hao hamuwafikii.
 
Back
Top Bottom