Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar hakuna mto, mto upo Kibera[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Drones help map flood risk in Dar es Salaam
889019.jpg

🙂😀😀😱🙄
 
Dar haina barabara za lami hebu check the last photo on the right...and mind you its the best photo you have posted of dar is slum, je ukipost the worst si ni kam plae Monrovia...
What about Kenya kuhusu hi barabara
IMG_20180301_113123.jpg
 
Tatizo wewe unaokota mapicha bila ushahidi wowote kuonyesha kwamba hapo ni wapi, lazima uthibitishe kwa kuwepo kwa landmark inayoonyesha hapo ni wapi, tutaanza kuleta mitaa ya New York na tukuambie ni Dar, kama hutoanza kujamba hapa.
Slum City ya dar ni ya kipekee hakuna mahala panafanana na NYC baybeee..😛😛
 
Dar imepata World recognition kwa kuwa na best public transportation system, wakati Nairobi imekuwa recognized world wide kwa kuwa na slums nyingi na kubwa duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu wamefinyana kama kuku kichinjioni😱😱😱😛
people-stand-inside-a-dart-bus-in-a-street-of-dar-es-salaam-on-august-picture-id591875262
 
Hiyo ni kazi yako sio yangu...😛😛
Unataka kulazimisha ushindi, sisi tukileta picha za kibera tunakuwekea zenye details zinazoonyesha kuta za nyumba, mifereji, vichochoro na hata watoto wanavyocheza, ili ujionee mwenyewe, ninyi mnaleta aerial views kuonyesha mabati ya nyumba, mnaogopa mkileta details mtaumbuka.
 
Haujakatazwa na mtu kuleta ....ukiweka naweka😀😀😀
 
Back
Top Bottom