TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Idiot hahahaha tutalearn nn toka kwa wakenya et???? Ukabila au??The mere fact that all the countries in your post are by far ahead of Tanzania should tell you alot. No matter how many times you appease yourself with it, Kenya will always be your peers in terms of development. Your job is to follow us, learning to avoid the mistakes we have made in our quick journey to progress.
Investors wanaangalia nchi ambayo uchumi wake ni mzuri, nchi ambayo kuna pesa na watafanya biashara, sasa hivi katika ukanda huu, ni Ethiopia na Tanzania pekee ambazo zinavutia uwekezaji, kumbuka Mohamedi Dewji a Tanzania businessman is the richest person in East and Central Africa, lakini hafikirii kuja kuwekeza Kenya kwa sababu uchumi wenu unakufa, hauna uwezo wa kushikilia kampuni zake. In short every country tries to attract investors, it is only those countries that their economies are doing very well where investors will go, for this Kenya is a loser. More FDI, more jobs, more taxes, more money.

waambie kwetu sisi kutuma CV kule headquarters za Google, CGTN, BBC, Coca Cola, IMB, Microsoft na kadhalika ni kawaida tu...Appreciate that we were in an electioneering period and that happens every five years, business slows down and a year later we pick up and off we go. Also dont forget that wengi wa hao investors ni Wakenya kwa hivyo ni vyema mnatusaidia kuingiza pesa wakati siasa imeshika sana huku. You are our 'backup' when we are rebooting. Si kuwa uchumi wa kenya hauna uwezo wa kusupport kampuni. Global companies are setting up shop in Nairobi almost every day.
Nairobi rank top destinations for Fortune 500 companies establishing international headquarters
Mibongo hatuelewi au baba yenu wa taifa mzee kenyatta ndio alikua hajui???? Nyerere alimwambia tuungane tena akamwambia kabsa na urais wa ea anamwachia yeye kenyatta lkn nyang'au likagoma leo mnaaona hamna hata ardhi wala chakula ndio mnaona kuungana deal eehhhh.... Pambanen na hali zenu nani aungane na mikenyA roho mbayaaKongole kwa mliyofanikiwa haswa kwa utalii. Lakini nikwambie kwamba the reason USA became what it s today was because of uniting many states into one. East Africa would become very successful if we united hata kama tutabaki na uraia wetu lakini tuwe na uchumi mmoja. Ingewezekana hata iwe EA na SADC ziungane. Lakini mibongo kama nyie hamuelewi mambo kama haya sijui hamna economists ama vipi!
waambie kwetu sisi kutuma CV kule headquarters za Google, CGTN, BBC, Coca Cola, IMB, Microsoft na kadhalika ni kawaida tu...
waambie kwetu sisi kutuma CV kule headquarters za Google, CGTN, BBC, Coca Cola, IMB, Microsoft na kadhalika ni kawaida tu...
hahahahahaHahaha wanashindana na ndovu kunya.
trueNa kwao hata ikiwa a 3rd rate global company opens a local branch there,the CEO runs to live in Nairobi and operate remotely! Global corporate high-flyers can't keep up with slow people!
Tanzania ina heavy weight businessman kuliko Kenya, huyu mtu amefungua kampuni zake hadi South Africa, akija hapo Kenya, wafanyabiashara wengi wa Kenya watafunga biashara zao, ninyi size yenu ni Bakhresa pekee, amekuja huko na vinywaji, unga na ving'amuzi na TV yake, tayari soko la kurusha ligi za mpira ameanza kutawala, je akija Mo Dewji ambaye utajiri wake ni mara mbili ya Bakhresa mtamuweza?Far from it! That Mohd Dewji will dare not come over coz he'll meet his match. He's only thrives in Tz coz bongolalas gives him no competion.
FYI: Why Nairobi has become a haven for global firms
Mibongo hatuelewi au baba yenu wa taifa mzee kenyatta ndio alikua hajui???? Nyerere alimwambia tuungane tena akamwambia kabsa na urais wa ea anamwachia yeye kenyatta lkn nyang'au likagoma leo mnaaona hamna hata ardhi wala chakula ndio mnaona kuungana deal eehhhh.... Pambanen na hali zenu nani aungane na mikenyA roho mbayaa
Tanzania ina heavy weight businessman kuliko Kenya, huyu mtu amefungua kampuni zake hadi South Africa, akija hapo Kenya, wafanyabiashara wengi wa Kenya watafunga biashara zao, ninyi size yenu ni Bakhresa pekee, amekuja huko na vinywaji, unga na ving'amuzi na TV yake, tayari soko la kurusha ligi za mpira ameanza kutawala, je akija Mo Dewji ambaye utajiri wake ni mara mbili ya Bakhresa mtamuweza?