Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
Poleacha akili za pombe TZ tumewadouble kwa kila kitu mlichojitahidi ni kwa upande wa barabara tu..... na kingine si wakenya wote wa hapo nairobi wanaoishi kwenye apartment na nyie mnamazingira ya nyumba ya mtu mmoja mmoja sema mnazificha.... tukiachana na kibera kuna maeneo kibao tu ya raia wakikenya wanaoushi kwenye nyumba ya mmoja mmoja tofauti na hizo estate...

