Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kazi ya tax ni nini?....iyo ni kukulwa na wanasiasa...serikali inamajengo kama KICC,times tower but privately owned ndio kusema hapa

sent from iPhone 7
Sikulaumu bali nitaendelea kukuelewesha, haya majengo yanajengwa na mashirika ya hifadhi za jamii kama NSSF, hata huko kwenu baadhi ya majengo ni ya NSSF, dunia nzima mifuko ya hifadhi za jamii huwekeza katika non risky projects kama majengo, Kenya ni nchi pekee ambayo peza za mifuko hiyo hutumika kukopesha wanasiasa na kufanyia kampeni za siasa, badala ya kujenga nchi, stupid failed state.
 
Usitoe chawa kwa shati ya mwenzio wakati una kunguni mia
f85f97c4b29b8a70838a817a3821adb9.jpg
Very old story, tafuta ya karibuni uone mambo yalivyo, endeleeni kunya katika mitaro, kwanza hamuhitaji vyoo kwasababu hata chakula hamna, vyoo vyanini?
 
Ukiwa umbeya kuenda choo unabeba jembe kiwanjani unachimba chini kiasi unamaliza shughuli then unazika
Sasa kama unafahamu best way ya kuhifadhi, kwanini sasa ninyi mnakunia kwenye mitaro?, cholera will be your friend forever
 
Wabongolala walishindwa kuuza movie zao...wananyingi sana lkn Bure 2..wakaamua kupoteza flavour movie zingine kwa kutafsiri.kwa lugha yao mbovu....ambayo wanajiuzie hao wenyewe.....yani hawanaplan..badala watengeneze zao
 
Sikulaumu bali nitaendelea kukuelewesha, haya majengo yanajengwa na mashirika ya hifadhi za jamii kama NSSF, hata huko kwenu baadhi ya majengo ni ya NSSF, dunia nzima mifuko ya hifadhi za jamii huwekeza katika non risky projects kama majengo, Kenya ni nchi pekee ambayo peza za mifuko hiyo hutumika kukopesha wanasiasa na kufanyia kampeni za siasa, badala ya kujenga nchi, stupid failed state.
kabisa wakenya wote ni kunguni
 
Back
Top Bottom