Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

UN says 76% of Dar residents stay in informal unplanned settlements.....how do you plead

Hilo hatujalikataa, unatakiwa ujue kitu kimoja kuhusu hizo unplanned settlement unazozizungumzia hapa...

Places kama Tandale, Mbagala, Mabibo, Gomz, Vingunguti, Mburahati, Kiwalani, Yombo, Tandika, M/nyamala, Kigogo, Keko + others... Ziko unplanned ila wakazi wake ni mchanganyiko wa kipato... ( MIDDlE, NORMAL and LOWER INCOME )

Binafsi me naishi Manzese, born and arised here cha ajabu kuna nyumba za watu ambazo zinastahili kua Mbezi Beach au Masaki... Ila zipo hapa

Wanaishi watu wanasomesha watoto wao shule kama FEZA ( ada ni zaidi ya Ksh 225K to 300K ) ALFA, DIA, CANNOSA, AL MUNTAZIR, + others hizo zote ada ni zaidi ya Million 1 ya kitanzania...

Ila Kibera na slum nyngn Nairobi si rahisi kukuta mtoto anasoma PEPONI, BROOKHOUSE, THE BANDA + others

Kwa tofauti hiyo usifananishe hizi Unplanned Settlement na hizo Slum zenu... Wanaishi watu na status zao za maana... + hohehahe km hao wa Kibera
 
hahahahahaaaa.... don't get me started mann. since when did that fishing village have a landmark building?
Where is dar in top 2000 slums in the world kama ipo nitag plz😀😀😀😀😀

Akili ni nywele😛😛😛
 
When Nairobi gone LIVE

kibera-slums.jpg


RECORDED
images
1.png
2.png
3.png
 
these guys act like girls lol, so quick to tag Moderator when its a kenyan who posted that but when a tanzanian colleague posts it then its okay.
look here
Wewe kenge hiyo ndo CBD ya Nairobï. Tulia nakupatia zingine
Your colleague COLLOH, he's too tempered... He can't control his temper, why he responds shit words!?

COLLOH anazingua....
mwambie kolo aacha kutukukana.
 
Back
Top Bottom