Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo ni slum vs dar slum
7596befea152bc67bae3fb2718688963.jpg
9ef2e6bb7871afa8c4125da409ace8d5.jpg
Land mark plz au nikutaftie land mark za hzo pic😀😀😀😀
 
Ila leo jamaa wamepaniki kinyama.... Hii ya kuleta picha za nchi za watu..!!

Dar ni kweli kuna sehemu ni dhofu li hali, ila huwezi kuta nyumba kama hizo za Kibera, Mathare, Dondora n.k

Ni kweli tuna Unplanned Settlement ila ndani ya hizo settlement kuna mchanganyiko wa Watu wa
kipato cha kati
kipato cha chini
kipato cha kawaida

Yeyote anayetaka kuja Dar me niko tayari kumtembeza Mitaa yote anayohisi ni Slum, halafu nyumba atakazokutana nazo hatoamini macho yake...

Kibera na takataka zenu nyngn shida ni JAMII MOJA TUU YA WATU... Yaani wale wa KIPATO CHA CHINI KABISA...
 
UN says 76% of Dar residents stay in informal unplanned settlements.....how do you plead
 
Picha nyingi sio za dar. Tatizo lako unaenda googlegoog click picha moja ya dar google wakikusajestia nyingine ambazo hata sio za dar unadownload haha!..

Ipo picha hapo ya MAKOKO SLUM in Nigeria ndio nyumba zimejengwa juu ya maji. da jamaa wanaokota picha yoyote wanasema ni dar!
 
Back
Top Bottom