Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wakenya niwanaweza kuuza maneno ukadhan wako level moja na Russia HaHaha kumbe wanavibanda umiza wamevibatiza jina airport[emoji38]
 
Umeishiwa sasa inabadili rangi tu tuone vibaraza..Hahaha
 
Serikali yajenga meli mpya ya abiria & mizigo ambapo ujenzi wake umegharimu Tsh. Bil 9 & itatoa huduma kwa wananchi waishio kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa-NW wa Uchukuzi & Mawasiliano,Mhe. Eng. Atashasta Nditiye Meli hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 200 pamoja & mizigo tani 200





 
wadogo zangu ma- comrade naona mnaendelea kunyorosha hawa vilaza wa kikenya.

safi sana wadogo zangu...mnazitendea haki elimu zenu na taifa kwa ujumla. i'm proud of you.

it's me your older brother kadoda11, jizee la 50s.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tanzania is doing good almost every sector lakin kenya munapumulia ICU kila sector sasa hapo bado hujaelewa nn au tuanze kushika chaki na ubaoπŸ˜€πŸ˜€
 
Kuona ujinga wenyu umefika wapi???

Check online and see how kenyans talk positive about Tz because they have no idea of the hate you guys have towards Kenyans.. On the other hand Tz hate towards kenyans is everywhere
hatuwez kusema ukweli wakat ni uongo yani tusifie kenya wakat kila sector ina grow negative πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…