Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee kadoda11, 2020 tukiongea mambo na nuclear energy, charging stations ya electric cars, MRT, space exploration (launching satellite) nitakubali lakini tukiongea kuzindua flyover nitakataa.
Ni kama juzi mkituaibisha ati mna launch lift.
BptR55IIMAAhe39.jpg:small

14516716992_ef8e1ba887_b.jpg

14331208029_ab74ae3cf7_b.jpg

Kwani hamchoki kujiaibisha?
lift ya kwanza 2014 na wanaiita city. Yani mbeya ni city na huku Nakuru na eldoret ni towns ...wabongo mtatuonesha mambo.. Tutarajie marais kadhaa kualikwa kwenye uzinduzi wa flyover ya kwanza Tanzania
 
lift ya kwanza 2014 na wanaiita city. Yani mbeya ni city na huku Nakuru na eldoret ni towns ...wabongo mtatuonesha mambo.. Tutarajie marais kadhaa kualikwa kwenye uzinduzi wa flyover ya kwanza Tanzania
Si ajabu...wanaweza tuma invitations by the way. Hawa vilaza ni watu wa ajabu sana
 
Wewe ni kilaza wa wisho kwa wote. You know nothing about photography.Don't argue firvthecsaje of it but be sensible when arguing.The person who took that photo must be a professional photographer. He simply chose an angle to capture a reflection of the buildings on the dam. That's a very simple concept to understand sijui shida yako ni nini.Ama hiyo picha imekupa kiwewe?
mbona hasira... nini mbaya mugger?.
 
who told you dar ime handle 20million tons 2017 na link niliweka hapa wewe ulikua wapi???
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 sasa niletee link ya 30million tons kuhusu kwenu
Weka iyo link Tena ...12 million was handled by dar port
 
lift ya kwanza 2014 na wanaiita city. Yani mbeya ni city na huku Nakuru na eldoret ni towns ...wabongo mtatuonesha mambo.. Tutarajie marais kadhaa kualikwa kwenye uzinduzi wa flyover ya kwanza Tanzania
Twatarajia sherehe za kimataifa, itakuwa national holiday, nafikiri raisi wetu ataalikwa lakini atakataa kuenda lol.
 
There things I will never want to compare with Tz and Kenya, Parks and Resorts.. In this two is like Identical twin brothers wakishindana nani more handsome... We can compare with west Africa.

We have so manu tourism towns in Kenya than Tz.

Tz tourism towns is centred in Zanzibar and Arusha while Kenya Kuna Diani, Malindi, Kilifi,Watamu, Malindi,Mombasa,Lamu,Nyeri,Nanyuki,Naivasha,Nakuru,
This are places with mass tourism and not stop overs I have left out parks and reserves..

Last year local tourism numbers are were over 4million am sure local Tanzanians will hardly hit amillion mark.
DATA STORY: Why Kenya's 2017 tourism numbers are unusual

Tz may have had more International tourist but they will never beat us in total numbers.. poor people who only depend on foreigners.
aisee in my life sijawah kukutana na kijana kilaza kama huyu...

ndugu tourism town in tanzania nikikutajia utakimbia humu😀😀😀😀😀😀

Arusha - saerengeti na ngorongoro
mwanza - sanana island na bismarck rock
unguja- beach resorts and marine reserves and island
pemba -beach resorts and marine reserves and islands,
mbeya - kitulo national park with waterfalls,
iringa - ruaha national park biggest national in east africa,
mafia -beach resorts and marine reserves and islands,
dar es salaam -beach resorts and marine reserves and islands,
kilimanjaro - kilimanajaro national park
tanga - saadani national the only national park along ocean in africa,
morogoro - mikumi national park na udzungwa water falls
pwani( selous the biggest fauna reserve in the world),
kigoma - gombe stream national park the only national park with many chimpanzee in africa,
katavi - katavi national park the only park with many hippo in africa
kagera - rubondo national park and island

nimekutajia baadhi ndugu kama unataka data yoyote niulize😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom