Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi kuna biggest slums zaidi ya 10 mathare na nyingine kubwa kubwa hapo unategemea nini.?
 
i have noticed that kenyans are so angry by all the negative news i share about their country.

i apologize for that and promise to never do it again.

this is the last negative news from me about kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

 
Wanamadeni mpaka kwenye makalioπŸ˜€πŸ˜€
Alaf anakuja mpuuzi anaimba GDP imepikwa mpaka inataka kuungua
 
unanishangaza maanake. hivi nikuulize, kati ya investor na infrastructure, ni gani inafaa kuja kwanza?
Kwanza power, power ndio inazungusha dunia hii, cha kushangaza na kuskitisha munataka infastructure wakat nairobi maji hakuna kuna faida gani ya infrastructures wakat huna basic human needsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hehehe Kenya you are lost yaani mnadaiwa mpaka mnatia huruma Hehehe mlipozipeleka hizo pesa zote hakuna kinachoonekana njaa, unemployment, insecurity, debt, poverty bado inazidi kuwatafuna hivi peanut tower imefika wapi itakua na meters ngapi na volume?
 
Kwanza power, power ndio inazungusha dunia hii, cha kushangaza na kuskitisha munataka infastructure wakat nairobi maji hakuna kuna faida gani ya infrastructures wakat huna basic human needsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Asante kwa kunijibu swali langu ipasavyo. Hivi wewe huoni investor katoka Japan kuja kuinvest Kenya, alikuwa hajui kama kuna power au hakuna?
Saa hii ndio unataka kuleta umeme..... umechelewa. Huko tulitoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…