Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cha msingi Somalia sasa ina serikali na on route to attain peace nyinyi mkiwa mmetia mikia yenyu kati kati ya miguu...hivi unakumbuka mlikua muwapee wanajeshi wa somalia mafunzo alshabab wakawaonya mkaingiza mikia katikati ya miguu tutolee ujinga hapa alafu mibongo iko hapa kulecture Kenya vile majeshi yenyu ni superior.. Pelekeni majeshi yenyu Somalia kama Burundi kama sivyo mtutolelee akili za kitoto hapa kujipiga piga kifua kwa kitu hakuna
 
Usingeliambia hilo jinga yenyewe yanadhan tz tunaingiaga sehemu kutafuta sifa ka yalivyoingia yenyewe somalia...
 
Lenyu lina power mbna haliko Somalia? Jirani zenyu Burundi wana majeshi Somalia nyinyi nini inawazuia??
 
Hutakuja kuta tz anapeleka majeshi somalia never .....tafuta jibu y idiot weee
 
Na nyie mngewaleta kongo
 
Sasa unataka Tanzania ipeleke jeshi Afrika nzima?, Msumbiji, Zimbabwe, Namibia, Angola, South Africa, Seychelles, Commoro, Uganda, DRC, kote huko tumepeleka jeshi, sehemu nyingi tulikua peke yetu, ninyi mlikua mnaliwa tigo na wazungu, hata Somalia pia mnataka hadi Tanzania tuwepo wakati kuna nchi zaidi ya sita zikipigana na Alshabaab?, kama mnataka Tanzania tuje huko Somalia, basi nchi zote zitoke Somalia tuingie sisi wazee wa kazi"African liberation army, TPDF"

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Umemjibu vyema kabisa....kama hajaelewa hapo basi huyo ni chokoraa damu tena sugu
 
Sasa unataka Tanzania ipeleke jeshi Afrika nzima?, Msumbiji, Zimbabwe, Namibia, Angola, South Africa, Seychelles, Commoro, Uganda, DRC, kote huko tumepeleka jeshi, sehemu nyingi tulikua peke yetu, ninyi mlikua mnaliwa tigo na wazungu, hata Somalia pia mnataka hadi Tanzania tuwepo wakati kuna nchi zaidi ya sita zikipigana na Alshabaab?, kama mnataka Tanzania tuje huko Somalia, basi nchi zote zitoke Somalia tuingie sisi wazee wa kazi"African liberation army, TPDF
 
tanzania jeshi pengine tuwape tu kenya police ama GSU maana Kenya defence forces watawaoa na kuwavalisha marinda....kwanza ni nchi ya wavivu wasio na uzoefu wowote katika vita
Kenya ranked East Africa’s most powerful military force
Hicho ndicho kinachowauza.....kati ya kenya na tsnzania ipi ni nchi yenye historia record yamapambano....

Na hebu nitajie kulingana na uzoefu wenu hebu nitajie ni vita ngapi mmepambana na ni nchi zipi mlizozikomboa kupitia jeshi lenu la KDF hapa africa taja hata taifa moja tu[emoji13]
 
Top 10 strongest military countries in
Africa
1. Egypt
2. Algeria
3. Ethiopia
4. SA
5. Nigeria
6. Kenya
7. Morocco
8. Tunisia
9. Angola
10. Libya
 
hey atleast I am bringing data to back my claims...nyie mna data zipi??? kupiga domo ni kama tu porojo...leta list inayosema kuwa tz inaipiku kenya katika vita...tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…