Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kuna vituko hadi inasikitisha
 
Kumbuka ndo wenye njaa East and Central African so iyo infruencial inatoka wapi au mi ndo sielewi manake
nenda utafte maana ya neno influential...ama upige search Google uandike most influential countries in africa...wacha kujifanya kana kwamba una akili za kima
 
Diamond has really fucked your ass..were bringing billions of investments to tanzania then you come here and tell us wcb ..compare that to sportpesa
 
I forgot...yes its true....Angola has been dealing with civil war of epic proportions for many years...sasa angola ndio wanaheshimu sana hawa jamaa...what a joke...
 
Umeshindwa katika mambo ya maana unarudi kwenye lugha, kwa kutumia Kiswahili tumeweza kufanikisha
1)Umoja wa kitaifa
2) Kumaliza ukabila
3)Kupambana na rushwa
4)Kuufanya mziki wa Tanzania kuvuka mipaka ya Afrika
5)Kuzalisha chakula cha kuwalisha wakenya
Vipi mnakufa kwa njaa wakati kiingereza kimejaa mdomoni?
 
nenda utafte maana ya neno influential...ama upige search Google uandike most influential countries in africa...wacha kujifanya kana kwamba una akili za kima

influential inayoshindwa ku act hata kwa majirani zake somalia wakae sawa.ni influential ya namna gani???

yaani somalia hawaoni kama kuna cha kuiga kenya,uko na bla bla ya kupatia usingizi hapa.
 
Lakini mmebaki LDC
 
influential inayoshindwa ku act hata kwa majirani zake somalia wakae sawa.ni influential ya namna gani???

yaani somalia hawaoni kama kuna cha kuiga kenya,uko na bla bla ya kupatia usingizi hapa.
wanajeshi wa marekani na russia wamekuwa Syria na Afghanistan na hata somalia kwa miaka na mikaka....ila bado magaidi wanatawala nyanja mbali mbali za nchi hizo....mbona huulizi swali kama hilo? usiwe ni kama mwendawazimu huelewi mambo..kisha influntial sio tu kwenye jeshi na political landscape...kuna economic influence pia...kenya ndio inaongoza EAC kwa biashara...hio ni influence pia
 
hata mngesema botswanana na namibia ningekubali ila angola hamna chochot kule....ni mafuta tu ndio inawapa uchumi mkubwa ila hali ya wananchi afadhali ya LDC...kama tu nigeria
We ulitaka nn iwape uchumi mkubwa wakat wanaitumia resources vzr kuendeleza nchi??
 

unaona sasa ulivyo andazi,hamna sehemu nimedai influential ya kenya iwe kwa kutumia jeshi.

kwanza hiyo siyo tafsiri yake,tafsiri yake ni ushawishi,unashawishi kwa kutumia jeshi kiaje.hapo utakuwa umelazimisha.

turudi kwenye ushawishi wa kenya sasa,ina ushawishi upi kwa majirani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…