Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kio
hapo awali nilibashiri dhahiri shairi kwamba mkirejea,mtaanza ku-repost picha za magorofa ya koinange road,moi na kenyatta avenue.then mta-repost picha za flyovers na thika highway.
koinange rd ndo wapi? wewe zoea tu zile screenshot zako za matope, that's what you do best.
 
Sasa takataka zilizopo Dar nzima hazifikii ata robo ya slums zenu...kibera ni largest takataka duniani tena kwa upande wa uchafu nyamaza kabisa
nyinyi hata your streets dont have dustbins? hua mnaweka takataka kwa mfuko ama?
 
Izo slums zenu mnaata vyoo? Unazungumzia dustbin kwetu wakati kwenu vyoo hamna
sikujua profession yako ni kuchimba vyoo. Kuja ufanye hio kazi basi. Your city haina dustbins or enough public toilets sa kule mnaishi je?
 
sikujua profession yako ni kuchimba vyoo. Kuja ufanye hio kazi basi. Your city haina dustbins or enough public toilets sa kule mnaishi je?
Ww mfagia jiji hayo madustbin mbona hamuombi serikali yenu ipeleke kwenu mathare?
 
Soma number.........
CTBUH’s tall building predictions for 2017

September
Prediction - Nairobi solidifies its emergence as Africa’s premier skyscraper hub as construction starts on Hass Tower in Nairobi – the first supertall to begin construction in Africa.

Nairobi is in the midst of a skyscraper building boom, accounting for almost a quarter of all active high-rise construction in Africa – far outpacing any other comparable cities. Adding to that will be the Hass complex when it starts construction in September. The two-tower project will break a number of records, featuring Kenya’s two tallest buildings, Africa’s first supertall tower, and two of the three tallest buildings on the continent. Its construction will solidify Nairobi’s emergence as Africa’s primary skyscraper city.

CTBUH’s tall building predictions for 2017
 
tunaomba utupatie video evidence sasa hahahaha ya picha haitoshi.

i had no idea that your attention is fully absorbed by my "matope ya nairobi" screenshots.thanks for letting me know.
videos coming soon.

 
Sasa takataka zilizopo Dar nzima hazifikii ata robo ya slums zenu...kibera ni largest takataka duniani tena kwa upande wa uchafu nyamaza kabisa

Angalia slums zilizopo Dar na ucompare na Nairobi

Satellite map of Nairobi Area / Kenya

Satellite map of Dar es Salaam

Let us just be honest, using those satellite images.......are Nairobi slums really as large as the NGO agencies claim really? Look at Kibera.
But look at Dar, the built up areas are concentrated in the one side, all the other rest is.......well, all trashy residential areas.



Hii sasa si Dar ya 2017, ni ya 2020?
 
Mnakaa mnakutupuka kwamba mnamiundombinu bora kuzidi hadi south Africa, ahahahah sahv mnajiita world class city,izo obbsession zenu muda wake bado sana....na izo slums mlivyozitenga ndio haziji kuisha zaidi zitaongezeka....mtabaki kuimba world class city..utopian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…