Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi bado sana kwa Dar. Hata wewe mwenyewe unaweza kukubaliana na ukweli
Tizama hapa ni Dar sehemu ndogo. Nimeengalia video yote uliyoiweka naweza kusema kweli barabara ni nzuri kiasi kidogo japo kwa upande wa BRT tunawanyosha. Kwenye majengo usiseme Nairobi iko too scattered lakini dar ipo vizuri kwa upande huo

sasa mmejenga majengo ya kukodisha karibu na CBD ulitaka density ikose namna gani...jambo unafaa uelewe ni kuwa Nairobi estates hazipo hapo kwa CBD....Nairobi CBD area is strictly for business...hakuna mtu ambaye amejenga plot za kukodisha ama kuishi karibu na CBD ya Nairobi kama nyie...for example this estate here is not near the CBD but if it was then we would have the density of buildings and closeness...yaani hazingekuwa scattered...kariakoo ipo karibu na TPA, PSPF na kadhalika ila watu wanaishi kule..Nairobi hakuna mtu anaishi karibu na CBD...elewa hilo kwanza
0f9055efb093874610bb1c37e5d7ffd8.jpg

jambo lapili, kuna maneo mengine kama Westlands ambayo hayapo pichani
 
Nairobi bado sana kwa Dar. Hata wewe mwenyewe unaweza kukubaliana na ukweli
Tizama hapa ni Dar sehemu ndogo. Nimeengalia video yote uliyoiweka naweza kusema kweli barabara ni nzuri kiasi kidogo japo kwa upande wa BRT tunawanyosha. Kwenye majengo usiseme Nairobi iko too scattered lakini dar ipo vizuri kwa upande huo

Dar kwa Nairobi bado tena sana
2a27f566e75b9e991f566e447cf55aaa.jpg
50160b5310b0a66ed624c86d057a8f5a.jpg
 
sasa mmejenga majengo ya kukodisha karibu na CBD ulitaka density ikose namna gani...jambo unafaa uelewe ni kuwa Nairobi estates hazipo hapo kwa CBD....Nairobi CBD area is strictly for business...hakuna mtu ambaye amejenga plot za kukodisha ama kuishi karibu na CBD ya Nairobi kama nyie...
Yaani sikuelewi unachoongea wewe. Unajitetea kitoto sana.
Kwanza nakutaka ukubali kuwa Majengo Dar yapo more advanced kuliko Nairobi.
Pili Nataka uniambie Maghorofa ya CBD Nairobi kazi zake ni nini?

Mwisho nataka unieletee CBD na culture ya kila sehemu na malengo yake. Tafsiri ya CBD inatofautiana sehemu na sehemu. Fuatilia uweze kujua rafiki
Mf:
Australia the acronym CBD is used very commonly to refer to major city centres. It is used in particular to refer to the skyscraper districts in state capital cities

Botswana: The CBDs were built for doing business task only. It's within the city of Gaborone, Botswana.
 
najifunza kutobishana na wajinga au limbukeni toka tz...kwa hiyo namalizia hapa.....ila ningepenga kusisitiza kuwa Dar ni uchafu tu mbele ya Nairobi...Nairobi inafananishwa na miji inayoongoza barani kwa uzuri wake, uwepo wa infrastructure na ukubwa wa uchumi GDP...
 
najifunza kutobishana na wajinga au limbukeni toka tz...kwa hiyo namalizia hapa.....ila Dar ni uchafu tu mble ya Nairobi...
Hahahaha!! Mawazo ya ukikuyu kikuyu yaache boda kule
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Wanyanyaseni wajaluo na waluya pekee kenye JamiiForums.com.com huku rafiki ni mawazo free. Uhuru wenu wa Kikuyu kwenye JamiiForums.com.com uishie huko huko. Kama umekosa point shut up.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

DV6qEYLWAAIHqa3.jpg
 
sasa mmejenga majengo ya kukodisha karibu na CBD ulitaka density ikose namna gani...jambo unafaa uelewe ni kuwa Nairobi estates hazipo hapo kwa CBD....Nairobi CBD area is strictly for business...hakuna mtu ambaye amejenga plot za kukodisha ama kuishi karibu na CBD ya Nairobi kama nyie...for example this estate here is not near the CBD but if it was then we would have the density of buildings and closeness...yaani hazingekuwa scattered...kariakoo ipo karibu na TPA, PSPF na kadhalika ila watu wanaishi kule..Nairobi hakuna mtu anaishi karibu na CBD...elewa hilo kwanza
0f9055efb093874610bb1c37e5d7ffd8.jpg

Furthermore,hebu mwambie Nairobi still has its original master-plan intact where dispersal and zoning of functionality related clusters is still adhered to. This way the economic value of each zone is defined and easily evaluated. That's why Singapore in its infancy learned from Nairobi!
 
Hahahaha!! Mawazo ya ukikuyu kikuyu yaache boda kule
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Wanyanyaseni wajaluo na waluya pekee kenye JamiiForums.com.com huku rafiki ni mawazo free. Uhuru wenu wa Kikuyu kwenye JamiiForums.com.com uishie huko huko. Kama umekosa point shut up.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

DV6qEYLWAAIHqa3.jpg
nadhani point ilipita lakini....Nairobi usifananishe na uchafu tafadhali...it is among top 4 cities in Africa..sasa wimbo wa wajaluo mara wakikuyu sijui unahusika kivipi na jiji nambari moja EA...
 
nadhani point ilipita lakini....Nairobi usifananishe na uchafu tafadhali...it is among top 4 cities in Africa..sasa wimbo wa wajaluo mara wakikuyu sijui unahusika kivipi na jiji nambari moja EA...
Top on what?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
mbona hueleweki ndugu. What do you think about largest slums in Africa?
Acha bana hizo. Kama uchafu wa kupindukia upo Nairobi rafiki.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
.
Hebu itafute Dar es salaam kama utaiona kwenye list hii hapa chini.
List Of Dirtiest Cities In Africa 2017
39. Midlands – Mauritius
38. Port Louis – Mauritius
37. Middleburg – South Africa
36. Witbank – South Africa
35. Nairobi – Kenya
34. Ermelo – South Africa
33. Morogoro Unit. – Rep. of Tanzania
32. Bramsthan, Flacq – Mauritius
31. Waterberg – South Africa
30. Diepkloof – South Africa
29. Sebokeng – South Africa
28. Orlu – Nigeria
27. Sanniquellie (rural) – Liberia
26. Sekunda – South Africa
25. Zamdela – South Africa
24. Nnewi – Nigeria
23. Vereeniging – South Africa
22. Antanarivo – Madagascar
21. Mpumalanga – South Africa
20. Tshwane [Pretoria] – South Africa
19. Yaoudé – Cameroon
18. Buchanan (rural) – Liberia
17. Afikpo – Nigeria
16. Johannesburg – South Africa
15. Abakaliki – Nigeria
14. Ile-Ife – Nigeria
13. Bafoussam – Cameroon
12. Enugu – Nigeria
11. Nsukka – Nigeria
10. Hartebeespoort – South Africa
9. Beau Bassin/Rose Hill, Coromandel – Mauritius
8. Bamenda – Cameroon
7. Dakar – Senegal
6. Owerri – Nigeria
5. Kampala – Uganda
4. Umuahia – Nigeria
3. Aba – Nigeria
2. Kaduna – Nigeria
1. Onitsha – Nigeria

List Of Dirtiest Cities In Africa, Number 14 Will Shock You
 
uchafu unaweza kuisha... au sio? lakini hio haibadilishi ukweli wa mambo kuwa Nairobi ni mojawapo wa miji muhimu kabisa barani Africa...hata kwa uchumi tu (GDP) ya Nairobi pengine muunganishe miji yenu yote ndio mfikie....uchafu tutadeal nao infact tayari tumeanza kudeal nao.... hio isikusumbue hata kiogo....
 
Back
Top Bottom