evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
Kajiado ni kama DubaiKajiado sio LDC kama vile Dar na Bujumbura.
Kajiado ni kama DubaiKajiado sio LDC kama vile Dar na Bujumbura.
Ni kosa la niniKumbe ndio maana kichwa chako kimejaa makamasi
Sio kosa lako
Ni kosa LA maziwa ya mbwa uliyonyweshwa utotoniNi kosa la nini
Without forgetting the largest slum aka kibera metropolisKenya ,with no mineral resource is a fighter,an aggressive African country,a country with a people who command great English,and Nairobi stands tall In African cities,a huge metropolis with A powerful skyline in the making!Viva Naitobi.
Hiyo aggressive mnaitumia vipi katika kupata wealth au ndio ile inatumika kule somalia kuwalazimisha wanunue mkaaKenya ,with no mineral resource is a fighter,an aggressive African country,a country with a people who command great English,and Nairobi stands tall In African cities,a huge metropolis with A powerful skyline in the making!Viva Naitobi.
Hata mimi nilishangaa kumbe Mount Meru nayo ina snow ila kipindi cha baridi, ukiuangalia unaweza kusema ni Kili kumbe ni Meru.Naona mi barafu juu ya meru ,utadhani Kilimanjaro vile!
Mwanza inaweza kuwa tourist hub hasa kwenye maswala ya beaches lakini naona serikali imeitelekeza so sad!Mwanza the beautiful one
View attachment 693956 View attachment 693960 View attachment 693961 View attachment 693962 View attachment 693963 View attachment 693964 View attachment 693965 View attachment 693966 View attachment 693967 View attachment 693968 View attachment 693969 View attachment 693970 View attachment 693972 View attachment 693973 View attachment 693974
Ni kweli Mwanza ipo na potentials nyingi sana kwenye tourism industry, ukweli kiasi fulani serikali iliyopita iliwekeza kidogo sana Mwanza.Mwanza inaweza kuwa tourist hub hasa kwenye maswala ya beaches lakini naona serikali imeitelekeza so sad!
Mfano hii barabara JPM alivyoingia tu alianza nayo ina many kilometers kutoka airport mpaka townMwanza inaweza kuwa tourist hub hasa kwenye maswala ya beaches lakini naona serikali imeitelekeza so sad!
Anyone got data on the new Mombasa Gate bridge? I here there is a project starting May to build cable cars along the Likoni channel to be completed in 2020...this would really complement the bridge and boost Mombasa's status
Lindi ama mtwaraSiko Dar! !aai mwalimu wako alipata sana tabu Tabu wewe...sijui kama uliweza kumaliza shule
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Tanzania ya vitendawili... Ongea uhali halisi. What you have now???sisi hatuna SGR kama ya Kenya tumeamua kuunda ya kisasa zaidi ya umeme.
buses vip nazo ni za diesel
Apo sio mbezi beach ni mbweni wanaishi watu wa kawaida tuUnatuletea picha ya mbezi beach mahali wadosi wa Dar huishi! Sasa sisi tukileta za Muthaiga na Runda huku kutalika kweli? Leta picha za estates ambazo mwananchi wa kawida anaweza afford kuishi. Hizo za ubabi zimejaa Nairobi
I can't even see tarmac roads on those 'posh' Estate...Unatuletea picha ya mbezi beach mahali wadosi wa Dar huishi! Sasa sisi tukileta za Muthaiga na Runda huku kutalika kweli? Leta picha za estates ambazo mwananchi wa kawida anaweza afford kuishi. Hizo za ubabi zimejaa Nairobi
Yamenifanya kuwashinda nyinyi kiakili, na kimali.Ni kosa LA maziwa ya mbwa uliyonyweshwa utotoni
Kukaa kwenye mabati kumbe ni akili?Yamenifanya kuwashinda nyinyi kiakili, na kimali.
Apo ni wapiAnyone got data on the new Mombasa Gate bridge? I here there is a project starting May to build cable cars along the Likoni channel to be completed in 2020...this would really complement the bridge and boost Mombasa's status
![]()
Many kilometers ni ngapi si useme ni moja tu.Mfano hii barabara JPM alivyoingia tu alianza nayo ina many kilometers kutoka airport mpaka town View attachment 693982