Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
99 percent of all multinational companies are based in Nairobi..pole sana...I repeat we take all the investment in East AfricaEti tunavutia investments zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah we jamaa unajua kufurahisha watu sana
Kwa taarifa yako Bus kama hizo Tz haziruhusiwi kuingia Jijini DarHapo amesema alikosa good buses juu ya kuchelewa...ni kusoma huwa hamjui ama....video inakaa ya kitambo pia.
Duuu wakenya bhana huu ndo upuuzi anaowaminisha uhurutoI repeat without SA, Nigeria, Egypt and Kenya, there is no Africa😀😀😀😀endleeni kukasirika lakini ukweli ndio huo...
sikujua watz huwa na hasira kiasi hiki😀😀😀...tafta kamba sana ukajinyonge...ila ukwli ndio huo...SA, Nigeria, Egypt, Kenya...Duuu wakenya bhana huu ndo upuuzi anaowaminisha uhuruto
Natumia sumsung galaxy J2 !! Usipate tabu nayo yawezakua ww una note 8 hongeraweka picha ya simu unayotumia ww hapa tuone😀😀😀
99 unafaham lakin99 percent of all multinational companies are based in Nairobi..pole sana...I repeat we take all the investment in East Africa
Niko kwenye kijiji kimoja wacha kabisanilidhani data bei rahisi
Google, IBM, Coca Cola, Microsoft, CGTN ni mifano tu...hebu taja za tz tuon kama hata zitafika 599 unafaham lakin
Kweli we akili huna kabisa
Kweli we akili huna kabisa
pole sana kenge wewe...hasira hasara nimeshakwambia...Nchi afrika ni nne pekee yake...wengine ni wa kutusindikiza tu kama flower girlsKweli we akili huna kabisa
Una umri gani kwanza? Yani unapiga kelele nyingi kumbe source ya upuzi wako ni coment ya huyo dada
Poor kenyan
Niko Pwani sehemu moja ndanindani hv ..Arusha au Mwanza?
[emoji16][emoji16]Arusha au Mwanza?
Mkoa wa Pwani uki Google unaweza uona [emoji3]Tanga
sawa rudi Dar bas angalau upate data...Mkoa wa Pwani uki Google unaweza uona [emoji3]