Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unafaa uishi nairobi hata wiki moja tu...weather shwari kabisa..huko Dar sijui huwa mnaishi aje huko..nchi yenye joto kana kwamba mpo kwenye oven...hivi nikuulize, watu huwa wanavaa suti wakienda kazi kweli na joto hilo lote??
Uliabiwa bila suti huwezi kufanya kazi? Pia suti nivazi la wazungu. Kinacho fanya kazi sio suti.
 

kwahiyo elimu yako wewe sasa imekusaidia kuto tofautisha asili ya eneo na vitu vilivyojengwa?? auhujagundua jamaa ameshangaa nini??

basi useme nai kuna baridi na dar hakuna baridi.
 
Sawa ndugu point of collection but katika vyote ulivyoona umechagua hicho tu cha kushikia bango, u argue like a child, mfano mtu akikosea kusema "maji" kwa bahati mbaya akasema "baji" basi we utalishikia bango neno "baji" lililokosewa instead of kusikiliza what the person is saying.
#deliver_us_from_ignorance.
 
so ww unadhani Air tanzania haijawah fanya safari za inter continental serious??๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 

babu hiyo ni maeneo manne tofauti yenye umbali wa 5km kila moja.

hapo kuna posta,kkoo,upanga,ostabay usitegemee yakawa karibu.

pamoja na kwamba nai imejikusanya sehemu moja tu,but jengo ni moja moja.
 
We kijana unamaajabu mno, ndio umekuja kutuelekeza what battle is all about okay we got you,
Unaleta ujinga wakiandika insha zilizojaa pumba tu,get lost!!
 
wewe usisingizie ugaidi tanzania inavivutio vya kipekee duniani ambavyo kwenu ni ndoto๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ so usitafute sababu hazina kichwa wala mguu
 
wewe usisingizie ugaidi tanzania inavivutio vya kipekee duniani ambavyo kwenu ni ndoto๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ so usitafute sababu hazina kichwa wala mguu
taja moja tu...kama ni mlima nasi pia tunao...kama ni wanyama pia tunao...kama ni beaches pia tunao...
 
babu hiyo ni maeneo manne tofauti yenye umbali wa 5km kila moja.

hapo kuna posta,kkoo,upanga,ostabay usitegemee yakawa karibu.

pamoja na kwamba nai imejikusanya sehemu moja tu,but jengo ni moja moja.
Nai hata huwzi ukaiweka yote kwenye picha moja brathe...kisha Nai kuna estates na CBDs...sio kila mtu amejiksuanya pale CBD kama viberiti๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€haijulikani kama ni CBD ama ni estate...wote wapo pale
 
Wewe jamaa hamnazo kabisa.Unaongelea hali yahewa, currency na wasanii.wewe hamnazo. Jaribu kuja kivingine.Hivi unataka kutwambia KQ wanaingiza faida??Hata wakenya wanakushangaa.
 
taja moja tu...kama ni mlima nasi pia tunao...kama ni wanyama pia tunao...kama ni beaches pia tunao...
hehe so unataka kujifananisha na mt kilimanjaro??
be serious bro the world free standing mountain, ngorongoro crater the biggest crater in the world๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
selous game reserve the biggest faunal reserve in the world, na inasemekana selous inasimba wengi zaidi africa, kitulo national park ina maua yakipekee duniani hakuna sehemu nyingine utapata, usijifananishe na tanzania utaumia bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ