Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu msemo wa wakenya kwamba watanzania wamebeteka sio "aggressive" unanishangaza sana, inaonesha hamuwajui watanzania wa leo
 
has been tallest building in EA for over 30 years....wakati Dar ndio inajengwa kuanzia 2015😀😀😀...huwa tunawaambia Kenya sio kiwango kimoja na hawa jamaa hawatuskii
cha ajabu inawanyima usingizi😀😀😀
 
nimesubiri keki sijaona...ama wewe ni wale wachoyo wa mlo?😀😀😀mtu akibisha hodi ukila unaficha sahani chini ya kiti mara moja😀😀😀
Hahaha sikua na cake buda...siumeona nilikua kimya tu....,niko kijijini sahv so kuna uhaba wa vitu kama ivyo na kazi zimetight vilivyo
 
9ACEA207-6235-4FCB-8D90-FA5EF25FFFE7.jpeg
 
Mliman city wangejenga kwa Kwenda juu nadhan wangefunika sana...sema nn apo mliweza
Tuliweza kwa sababu it is the biggest mall in east and central Africa. How about that? And by the way uliacha kushtuka ma kuuliza uliza maswali kuhusu Nairobi?
 
Back
Top Bottom