Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Without Forgetting [HASHTAG]#KIBERA[/HASHTAG] estate
 
Collo unanyamazishwa kinyonge kama Wanjala budaaaaa [emoji124] [emoji124]
mimi ndio nilifanya wanjala awe anaingia jf kwa kujificha....ilikuwa ni zile post za azam tv.kuna wakati tulipelekeshana sana kuhusu azam tv.

wanjala ni mmoja ya wakenya wanaoichukia sana azam tv. sijui ilimkosea nini.pia ni mmoja ya wale wakenya wanao underestimate sana bidhaa za tz.

azam tv ilipopata kandarasi ya kuonyesha cecafa nchini kenya mwaka 2017, wanjala alipigwa na butwaa asiaminini kile alichokiona.

kwa kulitambua hilo nikawa nam-bully na kumtag post zangu zote kuhusu uhusika wa azam tv katika cecafa.

tangia hapo ndio akapotea mazima ili kuficha aibu...siku hizi huwa anagia jf kwa kujificha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli kadoda ulikua unamkomalia Wanjala ukamwandikia na memo ukaipiga picha [emoji23] Nao hawa watakimbia soon
 
AMANI ni kitu muhimu sama
View attachment 691824
inaonekana mtandao ulionyuma ya biashara hii haramu ni mtandao hatari sana,hata mtandao wa mafia wa madawa ya kulevya una nafuu.

nakumbuka mwaka jana au mwaka juzi kuna mzungu aliuwawa eneo la masaki dar.

yeye pia alikuwa ni mwanaharakati wa kupinga biashara hii kama huyo aliyeuwawa kenya.
 
Ichoboy naomba uniazime hiyo saa nataka nikachumbie kibera nasikia nikienda nayo huko nitapewa mtu na mama yake together![emoji23] [emoji23]
Bro we pitia muda wowote wala usijlπŸ˜€πŸ˜€
 
Ukute kaingia na Id mpya ya mwaswast[emoji23] [emoji23]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukute kaingia na Id mpya ya mwaswast[emoji23] [emoji23]
kimpango wake... aibu yake mwenyewe.ila nilimnyorosha mbaya.

hata leo akijipindua tu, nanyorosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Without Forgetting [HASHTAG]#KIBERA[/HASHTAG] estate
Ndo maana nikasema kwamba to you danganyikans, Nairobi is kibera. hivyo ndivyo mitaa za Nairobi hufanana ukitoka nje ya slums. Wewe leta picha ya dar estates kama hiyo. I can bet my last penny kwamba utaleta picha za unplanned settlements aka slums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…