Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bora mngeanza na mambo ya msingi ambayo ni muhimu zaidi kama vile chakula, maji kwa wananchi, unemployment, security, na national unity, hizi fanfare za kijinga achaneni nazo, lini mtatumia brains zenu kwa busara?

Nairobi Uber Helicopters

You can now order a chopper via Uber in Nairobi and Mombasa - PC Tech Magazine

Uber-Helicopter.png



Uber Kenya (@uber_kenya) | Twitter
 
Bora mngeanza na mambo ya msingi ambayo ni muhimu zaidi kama vile chakula, maji kwa wananchi, unemployment, security, na national unity, hizi fanfare za kijinga achaneni nazo, lini mtatumia brains zenu kwa busara?
Mngekuwa mnatumia angalau robo ya brains zenu kwa busara hamngeitwa ldc by now. Sasa nani kati yetu na sisi ndio hawatumii akili zao kwa busara?
 
Tell them. And as long as Nairobi remains the hub for global multinationals and the only UN headquarters in the Southern Hemisphere and Addis Ababa for AU,there's no day Dar will claim any importance in this region!
Hawa watu ni vilaza wa mwisho. They are so full of self-contraction
 
There's a lucrative niche market for helicopter hoppers,why not tap into it!? Being who you are,you can't understand some of these things!
Hawa mibongo zao zimelala na kutulia kama maji ya mtungi. They can't see that's a business opportunity someone saw and exploited
 
What is a tour bus to you!? Must it be defined as double-decked for it to qualify or operate for tours? Bongolala wewe!
Ficha upumbavu wako..!! wewe hizo school bus za Kenyatta uni unaeza mpandisha tourist gani!! Nani ata panda bus ukipanda ukishuka ume pata tetenus
 
Sasa huo uchafu usio na mbele wala nyuma unalinganisha na brt best world's awards receiver of all recent years in transportation sector
Inakuwasha kuwa hilo basi ni double decker kama zile za pale London? Dawa itazidi kuwaingia mnavyozidi kuzisoma namba. Baba wenu wa Taifa aliwashauri mnapotaka kuzuru mji wa London, muingie Nairobi na kujionea. Karibuni Nairobi na msije na vijibakuli.
 
Hawa mibongo zao zimelala na kutulia kama maji ya mtungi. They can't see that's a business opportunity someone saw and exploited
Business gani mnafanya miaka yote tangu indepence hata chakula mnashindwa kujilisha?
 
Ebu uliza wale omba omba wenu ambao wametujazia miji? Watakujibu kwa ufasaha
Wewe uliza wale investors wenu waliowekeza billions of dollars Tanzania ndiyo watakuambia, pia uliza wale majamza wenu wanaokuja kuiba
 
Back
Top Bottom