Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jomo Kenyatta International Airport Helicopter Transfer | Kenya Transfers

jkia-helicopter-transfer.gif
 
Hehe so kua na UN office inasaidia nn wakati nairobi one good year hamuna maji😀😀

Kua na UN office hakusaidii wewe upate chakula, UN wako kwenye nchi husika kwa maslahi ya wazungu na sio ya wakenya, eat that
Is Tanzania a member of the United Nations? if so, then mnafanya nini kule wakati mnajua UN and its agencies wanajali maslahi ya wazungu. Someni number kabisa. The country in front of you is always Kenya and the city in front of you is and will always be Nairobi
 
Asante sana...finally umekubali kwamba nchi yenu "tukufu" kuna baa la njaa. An era of living in denial is finally coming to an end in Tanzania.
Tanzania ikianza kupata upungufu wa chakula, 50% ya wakenya watakuwa wamesha kufa, kwasababu chakula cha ziada ndicho tunachowaletea ninyi huko, bila sisi ninyi mtakufa zaidi
 
Is Tanzania a member of the United Nations? if so, then mnafanya nini kule wakati mnajua UN and its agencies wanajali maslahi ya wazungu. Someni number kabisa. The country in front of you is always Kenya and the city in front of you is and will always be Nairobi
Bro leo naona unaongea nonsense kabisa
Yani kua na office ndio imesaidia nn nairobi au imepunguza slums au imepunguza njaa au imeleta maji nairobi😀😀😀😀

Tafuta sababu za kisomi sio Za kipuuzi 😛
 
Utapataje jirani yako chakula wakati wewe mwenyewe hauna ya kutosha na unakufa kwa njaa wewe na watoto wako? Does it make any sense. Utakuwa tu na chakula cha ziada wakati wewe na watoto wako mshakula na kushiba.
 
Bro leo naona unaongea nonsense kabisa
Yani kua na office ndio imesaidia nn nairobi au imepunguza slums au imepunguza njaa au imeleta maji nairobi😀😀😀😀

Tafuta sababu za kisomi sio Za kipuuzi 😛
Amechanganyikiwa alipoona kwamba Kenya ni failed state, anatafuta njia ya kujirudishia matumaini, msamehe bure huyo
 
Bora mngeanza na mambo ya msingi ambayo ni muhimu zaidi kama vile chakula, maji kwa wananchi, unemployment, security, na national unity, hizi fanfare za kijinga achaneni nazo, lini mtatumia brains zenu kwa busara?
Kama hii ni fanfare ya kijinga basi hata brt ni fanfare ya kijinga coz zote ni mbinu ya usafiri. And did you just say chakula? acha nitafute ile link
 
Is Tanzania a member of the United Nations? if so, then mnafanya nini kule wakati mnajua UN and its agencies wanajali maslahi ya wazungu. Someni number kabisa. The country in front of you is always Kenya and the city in front of you is and will always be Nairobi

Tell them. And as long as Nairobi remains the hub for global multinationals and the only UN headquarters in the Southern Hemisphere and Addis Ababa for AU,there's no day Dar will claim any importance in this region!
 
Bora mngeanza na mambo ya msingi ambayo ni muhimu zaidi kama vile chakula, maji kwa wananchi, unemployment, security, na national unity, hizi fanfare za kijinga achaneni nazo, lini mtatumia brains zenu kwa busara?

There's a lucrative niche market for helicopter hoppers,why not tap into it!? Being who you are,you can't understand some of these things!
 
Back
Top Bottom