Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeenda kuedit Wikipedia unadhani editing Wikipedia itaiongeza TPA urefu? Don't worry, your post will soon be moderated.
Mbona unalia sana wewe. Viboko vimeingia vizuri!!?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ haamini anachokiona walete na mombasa na kisumu humu labda zitawasaidia maana hakuna kitu
Yaani hawa tumewashika kila kona. Wanalia tu kwa sasa.
 
What is the noise for in this thread???
I present to you, the most modern, world class, beautiful city in Africa - Nairobi
 
Mnaedit na broken English (do not included in a list because of antenna) seriously!!!!!!! hahahhah
 
Yaani huu mchezo wa hapa majamaa wanauchukulia seriously hivi? hahaha
Tumeshamaliza kazi na nyie. Sasa hivi mnalia lia kama watoto. Mnachoweza kwa sasa ni barabara tu. Lakini mpaka 2019 mnaanza kusoma namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…