Lakini watu wake wote wakiwa na haki ya kumiliki ardhi na uchumiThat's good for him...nyerere had no benefit for his family and the country at large....Tanzania is still an LDC
Lakini watu wake wote wakiwa na haki ya kumiliki ardhi na uchumiThat's good for him...nyerere had no benefit for his family and the country at large....Tanzania is still an LDC
Eti wakenya wanajita matajiri huku watoto wao wakisurvive kwa kunywa maziwa ya mbwaThat's good for him...nyerere had no benefit for his family and the country at large....Tanzania is still an LDC
last year nilitumia hati ya shamba langu kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank na nilifanikiwa kuchukua mkopo.kutoka leo yafaa ujue hauna ardhi hapo ldc state, sawa?
Wanatetea ndoa za kakazao walio olewa marekaniNdivyo walivyo hiyo video inaonesha wakenya waliandamana kumpinga trump Hehehe yale maamdamano ya wanawake wa kimarekani kumpinga trump nao wakenya waliungana nao najaribu kutafuta connection kati ya marekani na Kenya sioni.
Juzi trump amesema nchi za Afrika ni shithole, African Union wakaungana wote kulaani hiyo kauli, Kenya pekee ndio imemtetea trump na kumuunga mkono tena official state statement hapo unaweza kuona ni namna gani wakenya walivyowatumwa kwa wazungu mpaka kesho.
Ndio unaweza kusema vyovyote lakini huwezi dhulumiwa ardhi yako na mtu yeyote serikalini na endapo miradi ya Serikali kama miundombinu ikipita kwenye eneo lako utalipwa mpaka mche wa sukuma uliouotesha kwenye ardhi yako na mara nyingi serikali ikikulipa kama kuna eneo lingine inawapa ardhi nyingine bure.Maybe kuna Tanzania mbili. The last time I asked, I was told that the government of Tanzania owns all the land in Tanzania which it then leases to its citizens for a period of 99 years. Dear Tanzanians, let me remind you that when you lease something, it doesn't belong to you. Hiyo ni mali ya serikali yenu, si yako!
Ulipewa mkopo because that's government property. The bank knew that with the land belonging to the government, their investment were in safe hands. Hamna ardhi Tanzania kijana, hiyo ardhi unataja taja hapa ni mali ya serukali. Yafaa mkubali vitu zingine. You don't have to be perfect in everything. In matters land, ujamaa made you slaves in your own country. Kubali tu yaishelast year nilitumia hati ya shamba langu kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank na nilifanikiwa kuchukua mkopo.
sasa kama ardhi si mali yangu ni mali ya government, ilikuwaje bank ikaniamini na kunipa mkopo wa mamilioni?.
ukijibu kwa emotions nitajua wewe ni kilaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
What's the correlation between computers, smartphones and tribalism?why is kenya still struggling with tribalism in this century of computers and smartphones?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakenya wataimba haleluya mbona mwaka huu wanataka kushindana na linchi letu lenye kila kitu ...View attachment 689591
Ndio kazi inaanza tu. Wakenya mtakimbia. Bado maeneo kibao yanasemekana kuwa na mafuta.
Huna unachokijua ww nanga, Nyerere enzi zake alitoa scholarships mob watu walisoma sana urusi, china, Quba na sehemu zingine...even madaktar wengi wazee zaidi ya nusu yao walisoma nje. ...Nyerere made sure Tanzanians ni maskini wa kutupwa and illiterate...what an ugly lord of poverty
Haha nyie ni washenz sana,wapenda chapatiAti tunamiliki ardhi na wakenya hawamiliki ardhi.....wakati ni kulease mna lease kutoka kwa serikali alafu mnaona ni jambo la kusherekea..mibongo jameni
Watz tunamiliki ardhi hutak kanyee mbele huko bt ukwel ndio huo idiotFidia ni kitu inafanyika hata huku kenya...huwezi kuzuia mradi wa serikali kwa shamba lako. Tofauti ya kenya na Tanzania ni kwamba kwenu serikali inamiliki ardhi yote kwa hivyo hakuna mtanzania anaweza sema anamiliki ardhi. mnachifanya ni kwamba mnalease ardhi kutoka kwa serikali ambayo ndio mmiliki wa ardhi. In kenya, we own land 100%.We don't lease it from the government whatsoever. Sasa kati ya mtanzania na mkenya, nani hana ardhi?
Narudia tena Tanzania serikari ni mimi na watanzanzania wenzangu(yaani sisi sote) lakini kwenu serikari ni ya familia fulani au kabila fulaniUlipewa mkopo because that's government property. The bank knew that with the land belonging to the government, their investment were in safe hands. Hamna ardhi Tanzania kijana, hiyo ardhi unataja taja hapa ni mali ya serukali. Yafaa mkubali vitu zingine. You don't have to be perfect in everything. In matters land, ujamaa made you slaves in your own country. Kubali tu yaishe
Hehehe unachekesha kwani nyie hamlipi property taxes huko Kenya.?Ulipewa mkopo because that's government property. The bank knew that with the land belonging to the government, their investment were in safe hands. Hamna ardhi Tanzania kijana, hiyo ardhi unataja taja hapa ni mali ya serukali. Yafaa mkubali vitu zingine. You don't have to be perfect in everything. In matters land, ujamaa made you slaves in your own country. Kubali tu yaishe
Kuishi kwakunywa maziwa yaumbwa na kumiliki ardhi kwa miaka 99 kipi boraUlipewa mkopo because that's government property. The bank knew that with the land belonging to the government, their investment were in safe hands. Hamna ardhi Tanzania kijana, hiyo ardhi unataja taja hapa ni mali ya serukali. Yafaa mkubali vitu zingine. You don't have to be perfect in everything. In matters land, ujamaa made you slaves in your own country. Kubali tu yaishe
kilaza. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulipewa mkopo because that's government property. The bank knew that with the land belonging to the government, their investment were in safe hands. Hamna ardhi Tanzania kijana, hiyo ardhi unataja taja hapa ni mali ya serukali. Yafaa mkubali vitu zingine. You don't have to be perfect in everything. In matters land, ujamaa made you slaves in your own country. Kubali tu yaishe
land policies zenyu zinawarudisha nyuma tuseme tu ukweli usiwe mmoja wa wale unashangilia uharo....utalease aje land kwa nchi yako?Haha nyie ni washenz sana,wapenda chapati