Wao wanaandamana kutetea mashogaNi kweli kabisa aangalie hiyo video jinsi Tanzania ilivyo kua nchi ya kimapinduzi, wananchi wa Tanzania wakiandamana barabarani kulaani Britain na kutaka Zimbabwe iwe huru mara moja, anioneshe video ni wapi wakenya waliandamana kwaajili ya suala la muafrika mwenzao dhidi ya mzungu.
Video ya patriotism ya Tanzania
Video ya patriotism ya Kenya
PovuHaha story book utaandikia mpenzi wako....why is Tanzania still an LDC???
Maybe kuna Tanzania mbili. The last time I asked, I was told that the government of Tanzania owns all the land in Tanzania which it then leases to its citizens for a period of 99 years. Dear Tanzanians, let me remind you that when you lease something, it doesn't belong to you. Hiyo ni mali ya serikali yenu, si yako!I think almost everyone has a piece of land... Unless amezaliwa mtaani.. Na hajui chimbuko lake.
kenyans speaking on twitter.That's good for him...nyerere had no benefit for his family and the country at large....Tanzania is still an LDC
kumbe ni mali ya serikali, nilidhani unasema ni mali ya familia ya uhuru kenyatta. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maybe kuna Tanzania mbili. The last time I asked, I was told that the government of Tanzania owns all the land in Tanzania which it then leases to its citizens for a period of 99 years. Dear Tanzanians, let me remind you that when you lease something, it doesn't belong to you. Hiyo ni mali ya serikali yenu, si yako!
Hehehe you have remained with ldc, kila hoja inapewa power na ldc yaani unafurahisha kwamba mzungu akiamka kesho vizuri akatangazia umma kuanzia leo naiondoa Tanzania kwenye ldc basi utakosa hoja?Haha story book utaandikia mpenzi wako....why is Tanzania still an LDC???
Nyerere made sure Tanzanians ni maskini wa kutupwa and illiterate...what an ugly lord of povertyjomo kenyatta made sure his family and few people from his tribe become rich and rulers of kenya.
what an ugly tribal president he was.smh
Uyo collo mzii asomé wakenya wenzake wanavyolilia twitter hafu ndo ajue tofauti ya nyerere alikuwa akitafsri vp ukombozi na kenyatta alitafsri vipi ukombozikenyans speaking on twitter.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fidia ni kitu inafanyika hata huku kenya...huwezi kuzuia mradi wa serikali kwa shamba lako. Tofauti ya kenya na Tanzania ni kwamba kwenu serikali inamiliki ardhi yote kwa hivyo hakuna mtanzania anaweza sema anamiliki ardhi. mnachifanya ni kwamba mnalease ardhi kutoka kwa serikali ambayo ndio mmiliki wa ardhi. In kenya, we own land 100%.We don't lease it from the government whatsoever. Sasa kati ya mtanzania na mkenya, nani hana ardhi?Wakihiitaji watairipia fidia ni sawa tu huko kwani nyinyi serikari ikihitaji ardhi kwaajiri ya miradi haichukui kwa kufidia
Maybe kuna Tanzania mbili. The last time I asked, I was told that the government of Tanzania owns all the land in Tanzania which it then leases to its citizens for a period of 99 years. Dear Tanzanians, let me remind you that when you lease something, it doesn't belong to you. Hiyo ni mali ya serikali yenu, si yako!
wakikuyu nanona mmeamua kumtetea mzee wenyu.Nyerere made sure Tanzanians ni maskini wa kutupwa and illiterate...what an ugly lord of poverty
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]so ulivyoambiwa inamilikiwa na serikali ulielewaje labda!!!!
nikuongeze lingine hata ukizaa mtoto tz ni mali ya serikali,jinyonge kwa kuchanganyikiwa sasa.
Story mingi ya nini? Why is Tanzania still an LDC?Hehehe you have remained with ldc, kila hoja inapewa power na ldc yaani unafurahisha kwamba mzungu akiamka kesho vizuri akatangazia umma kuanzia leo naiondoa Tanzania kwenye ldc basi utakosa hoja?
Sisi hatuumizwi na hiyo ldc yako na kama unafikiri kwa kusema hivyo tunaumia sana, ndugu pole yako
Sisi tuna chakula cha kumwaga mpaka kulisha nchi jirani, rasilimali kedekede, ardhi yenye rutuba kwa kila mwananchi, maji safi na salama, ulinzi na usalama, uchumi 5 bora kwa ukuaji duniani na mengine kibao ambayo hamna.
Hiyo ldc yako you should keep for yourself
Sisi tnasema ukweli...ila nyinyi kusifu nyerere yet hakuna kenye alifanyaUyo collo mzii asomé wakenya wenzake wanavyolilia twitter hafu ndo ajue tofauti ya nyerere alikuwa akitafsri vp ukombozi na kenyatta alitafsri vipi ukombozi
Wafula ni mkukuyu???...utaacha ufalawakikuyu nanona mmeamua kumtetea mzee wenyu.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kenyans speaking on twitter.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndivyo walivyo hiyo video inaonesha wakenya waliandamana kumpinga trump Hehehe yale maamdamano ya wanawake wa kimarekani kumpinga trump nao wakenya waliungana nao najaribu kutafuta connection kati ya marekani na Kenya sioni.Wao wanaandamana kutetea mashoga
last year nilitumia hati ya shamba langu kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank na nilifanikiwa kuchukua mkopo.Tofauti ya kenya na Tanzania ni kwamba kwenu serikali inamiliki ardhi yote kwa hivyo hakuna mtanzania anaweza sema anamiliki ardhi?
You sound bitter for no good reason. Land policies in Kenya and tanzania are like heaven and earth. Uhuru kenyatta as a citizen of this country owns land just the same I also own land as a citizen of this country.Uhuru kenyatta and I don't lease land from the government. We OWN our respect pieces of land and the government has no say over our respective pieces of land. In tanzania the keyword here is LEASE. Hakuna ardhi mtanzania anamiliki, hiyo yote ni mali ya serikali yenu, get that simple fact. Kwa hivyo kutoka leo yafaa ujue hauna ardhi hapo ldc state, sawa?kumbe ni mali ya serikali, nilidhani unasema ni mali ya familia ya uhuru kenyatta. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
why is kenya still struggling with tribalism in this century of computers and smartphones?.Story mingi ya nini? Why is Tanzania still an LDC?