Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mchepuko wa hatari jamaa
Utamsikia kafika China
 
gulf stream v one of the expensive aircraft in the world
LDC wanamiliki lakini cha ajabu DC hawanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€



fokker 70 ER ndege ya 70sπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
jamaa zao walikuja bongo kushangaa uzuri wa BRT yetu, hawakuja kujifunza.

utaendaje nchi ya watu kujifunza jambo ambalo nchi yako haiwezi kuli-achieve?.....kama si upoyoyo ni nini. [emoji23]

Do you know what bench-marking and feasibility studies entails? After their field findings and comparisons on ground they must have come out with an analysis that it's not viable for such BRT system. It's not just a matter of copy and paste! What works well for Dar can't necessarily work for Nbo. Nothing lost,everything was budgeted for be it feasibility studies,research and consultancy.
Before you expose your dunderhead thoughts here,learn to appreciate that your ''jua kali'' way isn't our way!
 
nonsense as usualπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
What works well for Dar can't necessarily work for Nbo.
ishasemwa sana kwamba mradi wa BRT hauwezi kutekelezeka kenya na hata hapa kwenye thread tulishawahi jadiri siku za nyuma.

sasa mliwalete dar kufanya nini?... kushangaa uzuri wa BRT yetu bila shaka.

basi sawa endeleeni kufanya study tour kwa vitu ambavyo hamuwezi kuvi-achieve. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nonsense as usualπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…