Wewe uko na kichaa cha mbwa. Mtu hana mbele wala nyuma atawezaje kuafford kulipia passport wakati hata pesa ya kujikimu ndio shida inabidi afanye kazi ya omba omba? Common sense is not common to some people. Na muwache hii tabia ya kukana watanzania wenzenu. Ni wanadamu kama tu mimi na wewe licha ya hali yao ya umasikini. Hii tabia yenu ni mbaya sanaweka hisia na mahaba pembeni.
mtu anaweza lipia pass aje kuomba kweli???
endelea kuimba...[emoji23] [emoji23]Ingekua inaenda mbele haingekuwa inaitw ldc
acha waendelee kuchezea amani yao karibu na shimo la choo.
Hii taarifa umeitoa wapi? ni wapi imeandikwa kwamba wakenya hawapata maji safi ya kunywa ikilinganishwa na watanzania? Wapi imeandikwa kwamba wakenya hawana makazi na malazi bora Ikilinganisha na watanzania? Ndugu, acha kutumia hisia unapotoa hoja. Hapa tunatimia facts backed up by evidence. I can prove to you that in all those sectors you've mentioned kenya is way ahead of tanzania. I want you to bring evidence to support your claimsHakuna masikini anayeweza kupata chakula cha kutosha, mwenye makazi na malazi, mwenye kupata maji safi na salama, ukosefu wa hayo matatu ndiyo tunaita umasikini, Kenya yote hayo ni shida kubwa.
Kuhusu ardhi, hata ninyi mnayo ardhi ya kutosha kama mngeigawanya kwa haki, vipi mnaongoza ktk kuzalisha chai na maua, kwanini msizalisha chakula?, sera zenu mbovu za uchumi wa kibepari ndizo zinaxowafanya muione ardhi kubwa Tanzania.
Ajabu ni kwmba hizo nyumba za block unasifia hapa zimetapakaa kila mahali dar. Nairobi may be having slums just like Dar lakini ukitoka nje ya hizo slums za nairobi? utakuta mitaa ambazo zimejengwa na kupangwa vizuri, kitu ambayo haipo pale Dar. Mitaa na nyumba za Dar hazina mpangilio ambayo jiji linafaa liwe naloTatizo wanafananisha slum )nyumbani za mabati Tupu yaliyochoka) na (nyumba za block ambazo zinaitaji repair maintenance ya kawaida )
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]tuna rais wawili sasa hivi....mandeleo hoyeee
Wapi yenu ya lita kumi na moja?Hayo mafuta yenyewe lita kumi ndio unapigia kelele hahahaha
Kenya this Kenya that lol give us break,Izo rank hupanda na kushuka kila mwaka ,vyuo bora kabisa ni vile ambavyo huwepo mara nyingi top 10 kila mwaka vingi vyao cha SA ,Nyie tunabadilishana sana vijiti hakuna maajabuUniversity of Nairobi ranked the 7th best university in Africa. Now you know why danganyikans cross over to learn in Kenya
UoN ranked among top varsities in Africa
Nasikia kenya ukila ugali ww ni middle income[emoji23]bongolala wako api
Hapavutiiby pass Nairobi
Asira na chuki hahahaKenya this Kenya that lol give us break,Izo rank hupanda na kushuka kila mwaka ,vyuo bora kabisa ni vile ambavyo huwepo mara nyingi top 10 kila mwaka vingi vyao cha SA ,Nyie tunabadilishana sana vijiti hakuna maajabu
Hiyo inaitwa hasira...mtashangaa sana maendeleo yetu. Matusi yenu tumeyazoeaNasikia kenya ukila ugali ww ni middle income[emoji23]
[emoji15] [emoji15] Hawa wajamaa Bwana sasa nini maana yakua na flying over congestion hii yote duHapavutii
Leta yenu yenye inamvuto...Ldc nyie mnajenga your first flyover 50 years since independence hauna hata haya ukidharau ya wengine wakati wewe hauna hata robo ya unachodharauHapavutii
Umemaliza kusoma lini buda? Usikute naongea na sec school pupilAsira na chuki hahaha
Tell me the last time university of dar es salaam ever made it in the top ten. I doubt hata kama imewahi fika top 15