Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hili pampano tutaliendeleza mida ya baadae....saa ii tunachapa deal bana.bado majengo yako na ni dar tunawadai
 
Mbona unahamisha magoli wewe. Tunaenda jengo kwa jengo tuone majengo yenu marefu. Usihamishe tutakuja na huko subiri kwanza. Leta jengo unajibiwa.

😀😀😀😀😀😀😀 hakuna kuchakachua hapa

Moja wenu aandike "tallest buildings in africa" af aishare uku
Maana naona Dar ina majengo8 uku kenya inayo ma4
Af kushare link uku nashindwa
 


Nilikwambia antenna sio spire. Antenna haihesabiwi kwa urefu wa jengo.
 
Tumewazidi my sister
Mengi yameisha soon na bado mengine yako mbion kumalizia
Sasahv tushawashinda atleast kwenye majengo
But soon tutawashinda na barabara pia na apo ndo mtaona dar chungu
unasema mmetushinda bila proof? si mchuano umeshindwa?
 
This building is 100m tall dude. way taller than the ugly Umoja wa Vijana tower that you posted and also one of the most beautiful on the continent.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sababu za kizamani
Kama ni uzuri ata sisi tunamazuri ila hatujapost mana hayajafika20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko watani mmegoma kutoa kisa ni zuri, aiseeee
 
Tutaendeleaje uku wameishiwa
Pamoja na kuleta majengo under20 bado tumewapiga
Tunawadai majengo manne ya above20 ambayo wameishiwa

Wakitama majengo under construction waje pia


Mchuano ulikua kati yangu na wewe before some Tz kids caused a confusion (Ati jengo moja wanataka tupost mara sita). Tumefika majengo sita, nangoja lako la Saba. Urefu tumewachapa 10 nil mkaanza kulia ati ooh spire ooh antenna(yet only Britam has a spire) mkasema tuhesabu floors. Haya basi post zenu. So far we have more towers over 100m. Wacha tuone kama mtatushinda over 20 floors.
 
Kurudia tena ni ujinga
We angalia af utaongeza au vp
Hilo jengo unalosema moja unauakika
Lile ni twin towers yenye portion 3 kila jengo
Na dsm ni twin city yaan majengo twins ni mengi mno
 
Nawadai majengo manne
Toa delta na lile la 18 unalolitetea kuwa ni refu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sababu za kizamani
Kama ni uzuri ata sisi tunamazuri ila hatujapost mana hayajafika20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko watani mmegoma kutoa kisa ni zuri, aiseeee


Si umeshindwa kuweka jengo number 7 nikupe jibu? Wewe ndiye umegoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…