ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,428
- 89,834
Katika Maelezo yote ukaona pa kutokea ni Victoria tu,haya hayo mengine niliyoyaeleza je,,eti Victoria geti kwa geti, ni eneo dogo hasa mkono wa kushoto labda kwa upande wa kulia mitaa ile kuna ESRF otherwise sehemu kubwa ni hivyo tu,hata hayo mageti bado kuko unplanneduzushi na uongo ni sifa za asiye taka kutafiti jambo lolote bali kwenda na hisia.unazungumzia victori nyuma ya majengo yapi ambapo kuna slums???
bora hata ungetaja eneo lingine kijana,hilo eneo upande wa kushoto kumejaa nyumba za viongozi za serikali na kulia ni nyumba binafsi geti baada ya geti.sijui slums umeziona wapi???embu leta picha utuumbue lol.
Ana shida kichwani, Inabidi namm nimuache tumkuu kuna watu tukiwaita ni wakenya wanakataa lakini wanaumbuka baada ya hatia mbili mbele,
mimi niliamua kumuacha tu.
Congratulations.. Hatua hii hata Marekani haijafikia, ni maendeleo makubwa sana[emoji23][emoji23]Subscribe to read
Twenty-three African states, including South Africa, Nigeria and Kenya, have launched a single aviation market in a bid to boost connectivity, reduce fares and stimulate economic growth on a continent widely considered the most expensive and inconvenient to fly around.
Na hii staili ndo huwa inaniacha hoi,road ina urefu wa zaidi ya 200km then unajenga km 30 so utamaliza mkaka mingapi,pigs chini sgr tandaza barabara nchi nzima,tunahitaji barabara kuliko reliFlyover ipo hapo juu inajengwa
Interchange roads
View attachment 455918 View attachment 455919 View attachment 455920 View attachment 455921
Coming ubungo Interchange Flyover
View attachment 455922
http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1449130015-UNDER PROCUREMENT.pdf
Congratulations.. Hatua hii hata Marekani haijafikia, ni maendeleo makubwa sana[emoji23][emoji23]
Na hii staili ndo huwa inaniacha hoi,road ina urefu wa zaidi ya 200km then unajenga km 30 so utamaliza mkaka mingapi,pigs chini sgr tandaza barabara nchi nzima,tunahitaji barabara kuliko reli
Maendeleo gani wakati mnafungia vyombo vya habari, na eti mnajiita mpo na demokrasia, stupid nation.Aisee Kenya maendeleo tuu 😀😀😀
Du ee Bwana hivi si viwango vya ndani ya banda chips au??as i told you, i have been to lodwar some years back,that place is very hot.
and this is the current weather of lodwar.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
wakilisha mawazo yako. wewe siyo msemaji wa watanzania, Mimi binafsi nahitaji reliNa hii staili ndo huwa inaniacha hoi,road ina urefu wa zaidi ya 200km then unajenga km 30 so utamaliza mkaka mingapi,pigs chini sgr tandaza barabara nchi nzima,tunahitaji barabara kuliko reli
Kwani aliekwambia barabara hakuna nani???Na hii staili ndo huwa inaniacha hoi,road ina urefu wa zaidi ya 200km then unajenga km 30 so utamaliza mkaka mingapi,pigs chini sgr tandaza barabara nchi nzima,tunahitaji barabara kuliko reli
kijana narudia tena nioneshe kwa picha eneo lenye slum victoria,unplaned ukimaanisha huduma gani hazipatikani kwa ustadi au ni za hovyo eneo hilo????barabara,majitaka,umeme au maji safi???Katika Maelezo yote ukaona pa kutokea ni Victoria tu,haya hayo mengine niliyoyaeleza je,,eti Victoria geti kwa geti, ni eneo dogo hasa mkono wa kushoto labda kwa upande wa kulia mitaa ile kuna ESRF otherwise sehemu kubwa ni hivyo tu,hata hayo mageti bado kuko unplanned
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana.. Hapa hata air conditioner Inasanda..Du ee Bwana hivi si viwango vya ndani ya banda chips au??
Hivi ninyi wakenya mna akili au vichwani mnafuga nyuki?, hivi kweli mnaona ufahari kujisifia kuwa na milionea wakati mamilioni wa wananchi wanakufa njaa?, huwa mimi ninashindwa kuelewa kama kweli mna akili au mnamatatizo gani. Mtu yeyote mwenye busara hawezi kujisifia utajiri wakati hana chakula, hakuna kaxi, hata maji ya kunywa na kuoga pia ni shida hapo Nairobi. Kiukweli ninyi ni shithole country, hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuwaelewa ninyi.Here are the top 10 African countries with most millionaires. In US dollars
1. South Africa 40 400 millionaires
2. Egypt 18 100 millionaires
3. Nigeria 12 300 millionaires
4. Kenya 9 400 millionaires
5. Angola 6 100 millionaires
6. Morocco 4 600 millionaires
7. Algeria 4 500 millionaires
8. Mauritius 3 800 millionaires
9. Namibia 3 300 millionaires
10 Ethiopia 3 100 millionaires
Other notable countries that did not make it on our list are Ghana 2 900, Botswana 2 800, Cote d'Ivoire 2 500, Tanzania 2 400 and Uganda 1400. Source: AfrAsia Bank Africa Wealth Report 2017
We jamaa huwa uko empty kwenye ubongo afu unajiona mwerevu sana...haya nijibu, wakati huwa unakuja kusifia kale kabillionare kenyu kamoja na 79% ya watanzania ni maskini wa kutupwa fahari ndo ipo wapi hapo??watanzania wenzako wanaona heri kupitia shida wakiomba omba mijini Kenya kuliko kuishi Tanzania fahari ipo wapi hapo??....yani ukisema wengine hawana akili mtu anaezadhani we mwerevu kumbe akilini umejaza tu majiHivi ninyi wakenya mna akili au vichwani mnafuga nyuki?, hivi kweli mnaona ufahari kujisifia kuwa na milionea wakati mamilioni wa wananchi wanakufa njaa?, huwa mimi ninashindwa kuelewa kama kweli mna akili au mnamatatizo gani. Mtu yeyote mwenye busara hawezi kujisifia utajiri wakati hana chakula, hakuna kaxi, hata maji ya kunywa na kuoga pia ni shida hapo Nairobi. Kiukweli ninyi ni shithole country, hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuwaelewa ninyi.
Acha upimbi brazaWe jamaa huwa uko empty kwenye ubongo afu unajiona mwerevu sana...haya nijibu, wakati huwa unakuja kusifia kale kabillionare kenyu kamoja na 79% ya watanzania ni maskini wa kutupwa fahari ndo ipo wapi hapo??watanzania wenzako wanaona heri kupitia shida wakiomba omba mijini Kenya kuliko kuishi Tanzania fahari ipo wapi hapo??....yani ukisema wengine hawana akili mtu anaezadhani we mwerevu kumbe akilini umejaza tu maji