Ndoto ni kiswahili,"vision" kingereza,Mkuu ni lugha mbili tafauti hizo....nambie nini "Vision" ya TanzaniaSisi hatuna ndoto tuna vision. Hii inaonyesha kweli wew mkikuyu wa kibera. Unawaza ndoto tu.
Maneno yako sio sheria,Poa mkuu,hayo yanajulikana,na ndio maana nchi na mji yetu haiendelei...mimi simsemi mtu isipokuwa nachangia maoni yangu,si lazima uyakubali...
Kama unaona mabadiliko hapo ulipo hiyo inatosha,kama unashusishwa kwa kupewa taarifa ya moja kwa moja au hata ya magezetini au kwenye TV,au kupitia serikali za mitaa,ni bora zaidi....Maneno yako sio sheria,
Sie tunaona mabadiliko ,sio kesi
Eti Dar haina public toilets!? hahahaha...mji gani huoDaresalam mji usiokuwa na viwanja vya wazi vya kucheza watoto au kwa mapumziko ya wanaoishi mji huu,Daresalam ni mji wa mwisho duniani..,wale ambao wanaousifia mji wa Daresalam wanatakiwa watembee miji ya wenzetu wajionee...
Mji kuwa mzuri sio kuwa na majumba ya ghorofa makubwa tu,kuna mambo mengi ya msingi ya kuzingatia,mji hauna hata vyoo vya umma (Public toilets),kweli unaweza kuusifia mji kama huo...,nawakilisha
tuambie picha ya wapi hio??? usinambie dar wakat dar hakuna udongo mwekundu tafuteni sehem hio picha mlipoitoa ila kuipaka matope dar hamtowezaMbona mnapenda sana kukana picha za Dar zinazoonyesha uhalisi ya mambo. Mnawekanga za kibera humu ndani wala hatujawahi kuyakana. Vipi nyie wabongo?
Did I just see the colours of Kenya Airways on a plane above Dar? That's the pride of Africa. Wabongo zile mitungi zenu za gesi mnaita ndege ziko wapi?these muggers should know that the high quality beautiful photos below were captured in tanzania.
You guys are funny. Thats why you have flying toilets.Eti Dar haina public toilets!? hahahaha...mji gani huo
maendeleo tumeyaona sana na tunazidi kuyaona tena kwa speed kubwa sana na magu tunamkubali sana, endelea kuumia tuππππππKama unaona mabadiliko hapo ulipo hiyo inatosha,kama unashusishwa kwa kupewa taarifa ya moja kwa moja au hata ya magezetini au kwenye TV,au kupitia serikali za mitaa,ni bora zaidi....
Wewe peke yako ndo huna ndoto usiisemee nchi, kama wewe ni mtanzania kweli nakushauri ungehamia jukwaa jingine hapa hapakufai.Hapana mkuu mimi ni mswahili wa Dar,kubali hilo
Uongo ni dhambi kwangu,....Ukweli Tanzania kama nchi hatuna ndoto, na asie na ndoto hana maendeleoπ΅
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wewe peke yako ndo huna ndoto usiisemee nchi, kama wewe ni mtanzania kweli nakushauri ungehamia jukwaa jingine hapa hapakufai.
Mimi siko kisiasa mkuu,nitoe kwenye siasa mimi ni mwanaharakati,siasa kwangu ni utapeli,kwama unamkubali raisi wako ni kitu kizuri sana...maendeleo tumeyaona sana na tunazidi kuyaona tena kwa speed kubwa sana na magu tunamkubali sana, endelea kuumia tuππππππ
kama huyajui nyamaza sisi tunayajua na tumeyaona na yanafanyiwa kazi na uncle magu tunamkubali sana tu akaze vzr bado yani akazi kisawasawaπππsawa mkuu neno "Vision" linamaana "maono" sasa hay maono ya Tanzania ni nini??
yani uwe kisiasa usiwe kisiasa sisi tumeyaona maendeo sana tena sana na tunataka yaendelee chini ya utawala wa CCM tena magu akaze vzr na tutafika tuπππMimi siko kisiasa mkuu,nitoe kwenye siasa mimi ni mwanaharakati,siasa kwangu ni utapeli,kwama unamkubali raisi wako ni kitu kizuri sana...
Akili yangu bado hawajaiteka wanasiasa nashukurukwa hilo...
Hamna sehemu za kucheza watoto?? naomba aniambie hapa panaitwajeEti Dar haina public toilets!? hahahaha...mji gani huo
kama wewe mwenyewe huna maendeleo huna dream usifkiri watu wote wako hvo ndio maana hua tunasema usiseme watu hawana pesa sema mm sina pesaMimi siko kisiasa mkuu,nitoe kwenye siasa mimi ni mwanaharakati,siasa kwangu ni utapeli,kwama unamkubali raisi wako ni kitu kizuri sana...
Akili yangu bado hawajaiteka wanasiasa nashukurukwa hilo...
Mkuu inabidi nikuache kwenye huu uzi,naona uko kisiasa zaid,poa mpemde huyu "Uncle" wako mimi sina matatizo kwa hilo,ningependa tujadiliane kwa hii hoja,sijui huyo "uncle"kama anajua hata unaishi vipi...kama huyajui nyamaza sisi tunayajua na tumeyaona na yanafanyiwa kazi na uncle magu tunamkubali sana tu akaze vzr bado yani akazi kisawasawaπππ
anakwambia hajaona ππππHamna sehemu za kucheza watoto?? naomba aniambie hapa panaitwaje