naona saaahv hawataki kuongea na sisi sjui kwannMpatie data hizo apooze kichwaaa... 🤣
View attachment 3705211View attachment 3705212View attachment 3705213
naona saaahv hawataki kuongea na sisi sjui kwann
hadi mwaiofhawaii nae hataki kuongea na sisi, shida nn IamLeeWameishiwaa pawaaa...
Battle imewapaliaa
Tabora ndo inaenda kua center mpya ya uchumi wa reli East and central Africa
alafu kunatakiwa kue na kipande kinakatiza dodoma mpaka chuga na kingine kwenda south