You are reasoning just like a typical Tanzanian would. To you and your ilk, building swahili villages in your so called city is more important than saving the environment and creating an inviting living environment. We know the type of houses that dot your slummy city so usiongee kuhusu majengo. We are building world class skyscrappers and estates while creating green spaces at the same time. That is the balance that a world class city should create.hakuna hasira huo ndio ukweli ili mufkie level ya dar kwanza misitu iishe mujenge majengo alaf muje tuonge sasaπππππ
Unge..,again..?Ningekua moderator ungekua umekula ban muda mrefu sana..hivi huwezi kuchangia bila kujiita we mtz mbona unang'ang'ania utz ujue unaboa kinoma yaan
Wacha akue hata mganda ama hata msomalia, bora ni mtu na ametoa hoja yake kutoka ndani ya roho. You dont have to agree with every opinion after allhahaha u like honest people wakat mkenya mwenzio anajifanya nyoka wa kibisaπππππ sisi tulishamshtukia from day 1 endeleeni kujipa hopes
kisu kiko pale pale hakitoki kwenye mfupa
huyo sio mtanzania wala asiwasumbue kichwa nilishamuanika hapa toka siku ya kwanzaππNingekua moderator ungekua umekula ban muda mrefu sana..hivi huwezi kuchangia bila kujiita we mtz mbona unang'ang'ania utz ujue unaboa kinoma yaan
heheheh mkenya mwenzenu endeleenu kujipa hopes na kudanganyana mkijua ni ile tz ya 90sππππWacha akue hata mganda ama hata msomalia, bora ni mtu na ametoa hoja yake kutoka ndani ya roho. You dont have to agree with every opinion after all
Acha kushobokea nchi za watu idiotUnge..,again..?
NjaaaSo Ichoboy you cleared trees in Dar to create this thing below!? SMH. Najua utasema hiyo ni Dar ya 90'sView attachment 685426
Acha kujichekesha mkuumkenya umerudi unajifanya nyoka wa kibisaππ
jaribu gear nyingine hii imeshafeliππ
mm nakwambia kwenye living standards na environmental standards tanzania sio level yenu hehe nashangaa wazungu waliona kibera pekeake kua the biggest slum in the world followed by makuru kayaba munaishi maisha hata nguruwe hawez kuishi,You are reasoning just like a typical Tanzanian would. To you and your ilk, building swahili villages in your so called city is more important than saving the environment and creating an inviting living environment. We know the type of houses that dot your slummy city so usiongee kuhusu majengo. We are building world class skyscrappers and estates while creating green spaces at the same time. That is the balance that a world class city should create.
hahahah nimekuskia mkenya au kwa jina jingine nyoka wa kibisaππππππAcha kujichekesha mkuu
Ukweli utakuweka huru ,vinginevyo unatumia nguvu nyingi sana kujifariji,,Wakenya wako mbele sana kwenye viwanda,miundombinu,real estates,biashara na Kilimo,,kitendo tu cha kujilinganisha nao ni ishara tosha,,hata wawekezaji wakubwa bongo ni wao,mambo ya green house tumejifunza kwao and many more things,,sie bongo cha kujicunia ni uhakika wa kula,Huduma za jamii na stable social integration
Uniite sijui mkenya au mbongo au mrundi haibasili huo ukweli,ili tu catch up lazima GDP ipite digit 2 la sivyo itakuwa ngumu given kasi ya ongezeko la watu na poor allocation of resiurces
Acha maneno ya vijiweni wewe, humu karibu asilimia kubwa ni wasomi, lete reliable evidences ku support hayo unayosema, sio kutoa kichwani mwako vile ulivyoambiwa na unavyojua wewe, kama huna evidence hayo unayosema yatabaki kuwa mawazo yako tu.Acha kujichekesha mkuu
Ukweli utakuweka huru ,vinginevyo unatumia nguvu nyingi sana kujifariji,,Wakenya wako mbele sana kwenye viwanda,miundombinu,real estates,biashara na Kilimo,,kitendo tu cha kujilinganisha nao ni ishara tosha,,hata wawekezaji wakubwa bongo ni wao,mambo ya green house tumejifunza kwao and many more things,,sie bongo cha kujicunia ni uhakika wa kula,Huduma za jamii na stable social integration
Uniite sijui mkenya au mbongo au mrundi haibasili huo ukweli,ili tu catch up lazima GDP ipite digit 2 la sivyo itakuwa ngumu given kasi ya ongezeko la watu na poor allocation of resources unaochagizwa na mfumo mbaya wa utawala
Ni kawaida yenu sana hamkubali ukweli. Hilo "jiji" lenu ni slums left right and center. Leta picha ya kibera sasa kama ilivyo kawaida yenuNjaaa
huyo ni mkenya anaejifanya mtanzaniaπππAcha maneno ya vijiweni wewe, humu karibu asilimia kubwa ni wasomi, lete reliable evidences ku support hayo unayosema, sio kutoa kichwani mwako vile ulivyoambiwa na unavyojua wewe, kama huna evidence hayo unayosema yatabaki kuwa mawazo yako tu.
Mwache atuletee ushahidi, hata kama ni nyang'au akituletea ushahidi tutamsikiliza, ngoja tusubiri kama ana ushahidi atuletee.huyo ni mkenya anaejifanya mtanzaniaπππ
sio mm ni dunia ndio inajua hvoπππNi kawaida yenu sana hamkubali ukweli. Hilo "jiji" lenu ni slums left right and center. Leta picha ya kibera sasa kama ilivyo kawaida yenu
Hahaha...aki hamoendi kuambiwa ukweli. Hakuna nchi iliyokamilika duniani. Even USA has its fair share of challenges. Mbona nyie mnafikiria kwamba hakuna sector ambayo kenya iko mbele ya Tanzania. Hata Tanzania pia kuna sectors imeshinda kenya. Why do you label him kenyan for just speaking the truth?Acha maneno ya vijiweni wewe, humu karibu asilimia kubwa ni wasomi, lete reliable evidences ku support hayo unayosema, sio kutoa kichwani mwako vile ulivyoambiwa na unavyojua wewe, kama huna evidence hayo unayosema yatabaki kuwa mawazo yako tu.
Mimi sijamuita mkenya, mimi nilichomtaka ni kutoa evidence, hata kama ni mtanzania au mkenya muhimu ni kutoa evidence pale unapojenga hoja. Uraia wako sio kigezo cha kwamba unayoyasema yawe ni kweli au urongo, without reliable evidences yatabaki kuwa hot air.Hahaha...aki hamoendi kuambiwa ukweli. Hakuna nchi iliyokamilika duniani. Even USA has its fair share of challenges. Mbona nyie mnafikiria kwamba hakuna sector ambayo kenya iko mbele ya Tanzania. Hata Tanzania pia kuna sectors imeshinda kenya. Why do you label him kenyan for just speaking the truth?
ujanja wenu wakipuuzi tulishaujua kabla wewe hujajiunga jamii forum ndio maana hamtupi shida πππ hapa sio nairaland munapowadanganya wa nigeria hukoHahaha...aki hamoendi kuambiwa ukweli. Hakuna nchi iliyokamilika duniani. Even USA has its fair share of challenges. Mbona nyie mnafikiria kwamba hakuna sector ambayo kenya iko mbele ya Tanzania. Hata Tanzania pia kuna sectors imeshinda kenya. Why do you label him kenyan for just speaking the truth?
Evidence zipi zaidi ya hizi hizi mnaziweka humu wenyewe,mfano kwenye tarmac road ke@15,000km,Tz@7600km,,38 companies za Kenya wamewekeza Tz na ndo investor mkubwa nyuma ya UK,China,SA,USA .All these takwimu mnazipost wenyewe hata picha za infrastructure zimejaa humu afu ulitembea utaona uhalisia wenyeweAcha maneno ya vijiweni wewe, humu karibu asilimia kubwa ni wasomi, lete reliable evidences ku support hayo unayosema, sio kutoa kichwani mwako vile ulivyoambiwa na unavyojua wewe, kama huna evidence hayo unayosema yatabaki kuwa mawazo yako tu.