Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

15 million ata haifiki 1 million Kes infact its 750k ....ruto kwa fund raisings anachezea 10 million ama 5 million.....huyu magu hana doo
Magufuli hiyo ametoa mfukoni mwake, hiyo ni sawa na 160% ya mshahara wake, Magufuli sio tajiri wala corrupt person, hakuna mtu anayemchangia pesa yoyote. Rutto ni corrupt, fisadi na amezungukwa na rafiki corrupt, anaweza kuchangiwa pesa yoyote na rafiki zake au kutoa katika biashara zake alizodhulumu viwanja vya shule za msingi. Msijaribu kutuingiza katika competitions za michango, sisi sio watu wa kupenda sifa, wala sisi sio corrupt kama ninyi.
4 lanes, major highway,no road paintings, no street lights, shittest hole
 
haya leta barabara za city nairobi in km alaf uone kama utatoka humu, we huijui vyema darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


hiyo Dar yenu ni nyinyi pekee huona ikiwa kitu......in reality hata Mombasa imeishinda....
 
Hujatembea duniani wewe acha kujidhalilisha, unadhani Tanzania walitunga wenyewe hizo 5 lanes?
 
Ujue mistake kila nchi ijenge ma real estates kama huko Kenya ndo mseme ni maendeleo,sie tuna horizontal horizontal development kwenye real estates coz we have plenty land unlike nyie mnafanya vertical devlpment coz of scarce land
Kwenye other parameters hasa za social services tunawakimbiza ingawa ni kweli kuwafikia kwa miongo miwili ijayo ni ndoto unless tu grow GDP kwa double digit kwa zaidi ya miaka kumi,ndo hata Ethiopia ilifanya.Gap still ni kubwa na mfumo huu wa centralization itatuchukua mkaka mingi sana kupata maendeleo ya haja bongo yetu hii
 
And then you wonder why Nairobi is the headquarters of United Nations Environmental Program (UNEP), Habitat and other international organizations and UN bodies. The greenery aspect is one of the contributing factors among many other things. Even Oxfam is moving its international headquarters from London to Nairobi
 
Asante kwa asira ila number mtazidi kusoma
hakuna hasira huo ndio ukweli ili mufkie level ya dar kwanza misitu iishe mujenge majengo alaf muje tuonge sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mkenya umerudi unajifanya nyoka wa kibisaπŸ˜€πŸ˜€
jaribu gear nyingine hii imeshafeliπŸ˜›πŸ˜›
 
I like honest people like you. Watu wasiokua na ushabiki za kijinga. Hizi nchi zote mbili ziko na changamoto si haba ila tunayashugulikia hayo matatizo lakini hiyo isiwe sababu ya kutufanya tusiseme ukweli kuhusu maendeleo za hizi nchi mbili na kukubali kwamba kwa sasa, kenya imepiga hatua kuliko Tanzania kimaendeleo japo Tanzania pia inajitahidi kuliko ulvyokuwa ikifanya hapo awali. Kongole
 
hahaha u like honest people wakat mkenya mwenzio anajifanya nyoka wa kibisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sisi tulishamshtukia from day 1 endeleeni kujipa hopes
kisu kiko pale pale hakitoki kwenye mfupa
 
Ningekua moderator ungekua umekula ban muda mrefu sana..hivi huwezi kuchangia bila kujiita we mtz mbona unang'ang'ania utz ujue unaboa kinoma yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…