Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tulijua tu lazima izi nguzo lazima zianze kuoza, atleast kuna some hidding
1793544767467.png
 

Aren’t you proud of Kenyan Democracy. Only Kenya and South Africa political freedom is guaranteed regardless of any hiccups.
No opposition politician in Tanzania, Uganda, Rwanda and many others can dare speak like that within their borders and survive the onslaught…
This will be Tanzania 100 years from now or till Sisiemu is vanquished 😜😜 💯💯💯
 
Kunyan wajinga sana,wapo mitandaoni kuzusha eti mama samia anaongea na arsenal na man u waje kufungua arusha stadium,sidhani kama rais wetu atakua na muda mchafu wa kufanya ujinga huo
Wameona kuna upepo mbaya wa watu wao, wanamtuhumu Ruto kutumia mabilioni kuwaleta Bayern wakati uwanja wenyewe wanajenga wa mkopo wa Lipa mdogo mdogo miaka 15.

Kwahiyo timu ya propaganda imezusha hilo, ili ku-massage ego za Wakunya wajisikie vizuri hawajakosea.

Hukuona hata Mkataba wa BATUK ulipoisha, ili wapewe mkataba mpya wakazusha eti BATUK wanataka kuhamia Tanzania.
 
Back
Top Bottom