stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
sema apo kwenye saudi arabia daah wamegusa sehem ngumu sana, apo ni kama half of all foreign earnings zimeguswa najua wikii hii yote inayokuja kutakua na vikao haviishi kule saudi arabia wanaliaPesa ya Ebola tamu sio!?
Sasa nchi nyingine waendelee kufunga mipaka... Hadi waseme ebola ni ya mchongoo.