Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toa comparison kati ya calpol na Termidol.

Then ndio tutajua nani ni mpiga kelelee
Wewe liker umeambiwa Termidol ni generic while calpol ni original na bado unauliza tofauti? Mimi siko kwa field ya medicine lakini ninavyoelewa, generic ni copy ya original meaning termidol is the copy of calpol. Utaanzaje kuweka comparison ya original vs copy? Wee mwehu nini?
 
Miaka ile ya Dar coach. Ndio siku hizi wakenya wanatupigia kelele

1793526786558.png
 
Wewe liker umeambiwa Termidol ni generic while calpol ni original na bado unauliza tofauti? Mimi siko kwa field ya medicine lakini ninavyoelewa, generic ni copy ya original meaning termidol is the copy of calpol. Utaanzaje kuweka comparison ya original vs copy? Wee mwehu nini?

Good! Hapo umekuja vizuri.

Sasa kwa kuwa Termidol ni copy.. weka ingredients zake tuone Zina fanana na calpol?
Baada ya kuweka ingredients zake, twende kwenye clinical effectiveness ndio tutapata majibu which one is the best.
 
Back
Top Bottom