Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ wajinga sana aisee,ndio maana tunasema ule uwanja wao baada ya afcon utakua hauna tena matukio makubwa,kwanza ligi yao ya soka ni mbovu
Utafungiwa na CAF au FIFA kwa kukosa vigezo vya kutumika then mechi za nyumbani kwenye michuano ya CAF au FIFA wataenda kucheza Uganda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
there is nothing like a package you have to pay them, si mmeaomba waje kufungua πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ btw life after AFCON will be so tough because you will need to pay people to come and play there for it to be relevant πŸ˜‚
Wangese wametupa mabilioni ya pesa ili timu za mataifa mengine zije muzindua uwanja wao wa Taifa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Siasa za kijinga,hata wao wakipewa nchi hawawezi kuifanya kama europe au america,yan TZ watu wanaanza jan to dec,wanasiasa wa TZ hawanaga kusubiri kipindi cha uchaguzi au lah,wao ni siasa tu,ndio maana magu alifungia masuala ya siasa
Mangufuli was not perfect but i admired his workholic skills . I wish Kenyan leaders can pay surprise unannounced visits to public service places … It would mean alot . His style was so admirable I heard an American politician tell it in a town hall meeting . But that’s the only credit he gets from me ..( I almost forgot this a battle).🀣🀣 He definitely screwed up on covid response …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…