Nanyi mlikuwa mnamuita hero ghala Leo mnamuona adui.ππ
Uzalendo ndio kipaumbele,kiafrika hakuna nchi lets say akiongoza mtu fulani ndio itakua kama europe au america never,nchi zote za kiafrika maisha yetu yanashabiiana so hata sioni sababu ya kuichukia nchi ambayo vijukuu vyangu vitakuja kuishi sababu tu ya siasa za chuki!Hata mm pia lakini siwezi kuichukia nchi yangu Tanzania
Well put!Tatizo wanadanganya ili waonekane wako mbele kwa kila kitu na viongizi wao wanawafahamu nn wanacho kitaka
Yaani unachukua viposts vya wana harakati huko IG wakirifaa toka kwa takwimu za Mabeberu.ππππππ hii tumeingia lini??
View: https://www.instagram.com/p/Deq-Kj0jVmw/?dlrf=aXowZHY0MnVqbDh3
View: https://www.instagram.com/p/Deqhe-YMZir/?obrf=aDExbHc0dm1hamJ3
India yenye watu over 1 plus billion ndio yenye 14 million ya watu wanaishi kwenye umasikini?
Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na taruraYaani unachukua viposts vya wana harakati huko IG wakirifaa toka kwa takwimu za Mabeberu.
Nchi za kisoshalist or still maintain soshalist principles, namely:
China
Russia
North Korea
Vietnam
Tanzania
Belarus
Cuba
Hizi nchi hata zipige hatua vipi ni lazima ziscore low kwenye rating agencies zote za westerners kuanzia:
Human rights
Maendeleo
Democracy
Freedom
Governance
Safety
And so on.
Ni mtu tu mwenye limited understanding asiyeona wala kutambua hili.
Na source yao ni World Data Lab. πππYa 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na tarura
Tatizo hawa watu huokota takwimu bila kuapply reasoning.Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na tarura
Mganga na Umbwa that's not how poverty rate is determined.Ya 7 kwa umaskini duniani halafu ya 12 kwa nchi zenye uchumi mkubwa afrika bila kusahau afrika ina nchi 52,sasa hizi nchi 40 zilizokua chini kiuchumi dhidi ya TZ zina hali gani!na ukiangalia miradi inayoendelea TZ kwa wakati mmoja hamna nchi ukanda huu inaweza kuendesha miradi yote hii kwa wakati mmoja,dar 80% ya barabara ziko under construction zile za tanroad na tarura
It's not even a big discovery as reported. 223 BCF is less than $1 Billion in today's prices.
Revolution and French are birds of same feather. Itβs in their DNA. This unrest will come to pass too .So what? Is it the first time France is having a civil unrest? Did it collapse during those days?
Kenya and Ethiopia are good neighbors but definitely Kenya is responding kimya kimya . Soon utaona . I will make sure to alert you first. ππ
What is the value of ur crude in Lokichar based on domestic selling price?It's not even a big discovery as reported. 223 BCF is less than $1 Billion in today's prices.
After the cost of everything, bongolala government will go home with probably something like $50 -100 million over several years.
View attachment 3700298