Kaka naona umerudi kama rebel. Kabila style😅siko hapa kukuaminisha ila facts zitaongea na bahat nzuri siku hzi uongo umegeuzwa kua ukweli
Huyo hana akili wala facts zaidi ya hisia zake. 😂😂😂Sasa katika hizi bidhaa ulizoweka, kuna ipi ambayo sisi hapa Bongo hatuzalishi kiwandani we jamaa.?
Huwezi kujibu ulichoulizwa?mm sio mkenya siwez ongelea kuhusu wakenya kila mmoja anaakili yake na hulka zake ila kwangu white itabakia white na black itabakia hvo hvo
💯 😁dunia ya leo huwezi kuficha facts sasa machawa kazi yao ni kusifia even if its not true yani wao kazi yao ni kugeuza ukweli kua uwongo nothing else, dunia hii ya leo with modern globalization utamdanganya nani hata mtoto wa miaka mitano anajua mambo mengi tofaut na mtoto wa miaka mitano ya huko 80s.
mbna kama unatakaa kulia 😂 😂 😂 data ndo hizi apa, usilie mwanaetu, umekazania mchele toka mwaka jana 😂😂😂😂😂bidhaa gani unapeleka mchele zaidi ya huo mchele ambao unakwenda south sudan, bidhaa gani inatoka tanzania from our industries inaenda kenya zaidi ya machungwa na sio juice ya machungwa from the factory? mm bahat nzuri nimetembea nchi zote kitu nimekuta kenya from our factory ni azam energy nothing else lakini leo nenda kwneye supermarket zetu kama sio 30% basi 25% bidhaa zinatoka kenya na hili haliitaji ushahidi
hzi ni baadhi tena nimepita supermarket haya niambie nn ww unapeleka kenya kutoka kiwandani? zaidi tunapeleka mchele kwenye magunia wao wana repackage made in kenya wanauza south sudan kwa bei kubwa
this is so painful hawa jamaani very smart kichwani wanajua kutumia fursa hata kama sio yao but they will force it
View attachment 3699884View attachment 3699885View attachment 3699886View attachment 3699887View attachment 3699888View attachment 3699889View attachment 3699890View attachment 3699891View attachment 3699892View attachment 3699893View attachment 3699894View attachment 3699895View attachment 3699896
Pole. Kinyonge sana
As we grow old, huko mbele tunakuja kujutia baadhi ya maamuzi tuliyofanya under the influence of emotions.
I will use Bongolala Talanta mindset… hii ya Dodoma ikijengwa as per render, nafunga account 😜😜
Icho!.. just drop the mic 🎙️… time for everyone to go home …y’all been served by Ichoboy …🦾🦾💯dunia ya leo huwezi kuficha facts sasa machawa kazi yao ni kusifia even if its not true yani wao kazi yao ni kugeuza ukweli kua uwongo nothing else, dunia hii ya leo with modern globalization utamdanganya nani hata mtoto wa miaka mitano anajua mambo mengi tofaut na mtoto wa miaka mitano ya huko 80s.
ufunge akaunti ili iweje? 😂 😂 😂 tuliza kipara apo ndo kwanza tumediscover new gas fieldsI will use Bongolala Talanta mindset… hii ya Dodoma ikijengwa as per render, nafunga account 😜😜