Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamekula wali wa mchele kutoka Tanzania, Tanzania haiepukiki
 
Sometimes they push their luck too hard.. like when Mkapa seats increased by 5000 overnight after Talanta was introduced to the world.
Inferiority complex is a deadly cancer of self esteem 🀣🀣🀣🀣🀣
Yani Kenya akifanya Kitu they also want to do it. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
but who can save you πŸ˜‚ kwamba ambae hawazi kama wewe ndo kapotea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we fikiria kila mtu angekua anawaza kama wewe, leo hii wangap wangekua wamewekwa ndan kwa kusajili fuso mbovu?


View: https://x.com/TheCitizenTz/status/2115101806443614325?s=20
 
so you mean nairobi is a slum πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
go and ahead, infact you said you have some exclusive dar photos since kenyata was a president, upto today you never shared them πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nani mwingine unataka kumtetea mlete
View attachment 3699531
bidhaa gani unapeleka mchele zaidi ya huo mchele ambao unakwenda south sudan, bidhaa gani inatoka tanzania from our industries inaenda kenya zaidi ya machungwa na sio juice ya machungwa from the factory? mm bahat nzuri nimetembea nchi zote kitu nimekuta kenya from our factory ni azam energy nothing else lakini leo nenda kwneye supermarket zetu kama sio 30% basi 25% bidhaa zinatoka kenya na hili haliitaji ushahidi

hzi ni baadhi tena nimepita supermarket haya niambie nn ww unapeleka kenya kutoka kiwandani? zaidi tunapeleka mchele kwenye magunia wao wana repackage made in kenya wanauza south sudan kwa bei kubwa

this is so painful hawa jamaani very smart kichwani wanajua kutumia fursa hata kama sio yao but they will force it

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…