Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimekwambia yapo mazuri tutayaongelea lakini m kua chawa wa kushangilia na kusema mambo ya uongo uongo siwezi

kwangu mm black i will tell u is black na sio white
Ulimuambia nani kuna hayo mazuri? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiwa mkosoaji hakikisha unakuja na facts na sio hizi hisia zako.
Nimekuuliza swali la msingi, mkunya kusifia nchi yake ni sawa ila Mtanzania kusifia nchi yake ni uchawa? Hujajibu.

Huku tunapost maendeleo ya Tanzania hakuna mtu anapost viongozi, nenda jukwaa kwa siasa maana kule ndo wanafungua nyuzi za siasa.
 
Sasa ba mnyogode, ukitaka tuweke made in Tz humu si utakimbia hii thread.?
 
Watu waongo waongo, so kumbe ni chuki na hisia! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…