Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,120
- 5,583
Kaifuta haraka haraka. πππ eti alikua anadai mkunya mwenzao anamiliki chai Bora.. πππ hakuna mkenya mwenye hela hata mpuuzi mmoja ukilinganisha na wawekezaji wakubwa wa kibongo, wao wakunya pesa zao zipo kwenye zile data za majarida tu, sio ground. Mazungu yenyewe yakishindwa biashara hapo kunyani yanawauzia waTz halafu yanakimbia. Hao makunya uwekezaji wao ni ule wa kidalali tu, hawana maajabu yoyoteKaka hiyo post uliyoreply mbona imefutwa! πππ
We used to do this in 1990sYes, Banbros are building classic buses. Look at these units that they did to Tahmeed and Mash Poa.
View attachment 3698962View attachment 3698963
View attachment 3698964View attachment 3698965View attachment 3698966
Rest of other Banbros notable works.
View attachment 3698970View attachment 3698971View attachment 3698972View attachment 3698973View attachment 3698975View attachment 3698976
Sasa na sisi tukileta barabara zote za Tanzania na majengo na miundombinu yote iliyo Tanzania Dar ingeipita hata hiyo Singapore,singapore ina ukubwa wa sq km 760 ya ni nusu ya dar ila wana mtandao wa barabara ya lami km 9500 wewe huogopi??πππ
Wivu ndio unaokupunza wewe uliofeli maisha US πππKuna tofauti ya kusifu na kuropokwa β¦ Mfano sawa wa kusifu β¦ 1: Tanzania is a beautiful country
2: Mangufuli was Great ( we can agree to disagree)
3: Tanzania Football league is better than Kenyaβs
Mfano wa Sisiemu kuropokwa:
1: Tanzania is 90% electricity connection
2: Mkapa is bigger and better than Talanta
3: Mama Samia Arusha is like USA Mercedes Benz stadium
Hope umenielewa sasa Raymond ..
ππ€πΎπ€πΎπ€πΎ
Huu uwanja hauna hata standards za TFFprimia LIGI, nilikua najua chokoraaa
View attachment 3698683
View attachment 3698684
View attachment 3698685
na ww unakubali au ndio uchawaπππKama unabisha taja
tungeipita labda kwa slums( unplanned settlement) na barabara mbovu ziliojaa all the way, umaskini na ujinga etcSasa na sisi tukileta barabara zote za Tanzania na majengo na miundombinu yote iliyo Tanzania Dar ingeipita hata hiyo Singapore,
mm siwezi kua chawa huku naiangamiza nchi yangu, yani sehemu yenye rangi nyeupe niseme hio ni kijani, kuna dhambi huna haja haja hata ya kuzifanyaYou have finally seen the light.
magorofa ya nchi au ya watu walioneemeka na pesa za wanyongesi zimeenda kwenye magorofa nimekwambia ama hujaona stats
Dodoma greenery overtook naislumI have nothing to prove to you Mr. Gaylord.
ndondo yenyewe wanachezea mwenge saaahvHuu uwanja hauna hata standards za TFF
amna zile zimetengwa kwa ajili ya fumigationmagorofa ya nchi au ya watu walioneemeka na pesa za wanyonge
Kitu kinachokuzuia wewe kwenda kifungua kiwanda cha kuongeza thamani hizo korosho ni nini? Kwani umezuiwa na mtu.leo mauzo ya korosho kabla ya kuongezwa mnyororo wa thamani ni 1.45 trillion tsh, tunzalaisha zaidi ya tons 520,000 alaf mauzo ya korosho kabla kuongezewa thamani ni 410,000 tons iliobakia ndio hio inapita kwenye viwanda vidogo kuongezewa mnyororo wa thamani, leo tungewekeza heavily kwenye viwanda vya korosho tukaongeza thamani wenyewe na kutafuta masoko duniani, kwanza ajira zingepatikana lukuki na serekali ingekusanya kodi na bado export amout ingekua over 2.5 trillions, lakini kilichopo korosho zinaondoka nchini kama raw material zinaenda kwa wenzetu zinapita viwandani zinaongezewa thamani, ajira zinapatikana na kodi za serekali zao alaf wana export tena na wao
Nairobi - Marua = 144kmKuna tofauti ya kusifu na kuropokwa β¦ Mfano sawa wa kusifu β¦ 1: Tanzania is a beautiful country
2: Mangufuli was Great ( we can agree to disagree)
3: Tanzania Football league is better than Kenyaβs
Mfano wa Sisiemu kuropokwa:
1: Tanzania is 90% electricity connection
2: Mkapa is bigger and better than Talanta
3: Mama Samia Arusha is like USA Mercedes Benz stadium
Hope umenielewa sasa Raymond ..
ππ€πΎπ€πΎπ€πΎ