ndio dunia ilipo sasaTrackless stadiums is the way to go.
hii ndio ukiskia akili za kichawa ndio hizi, total anachimba crude oil apaeleke kwake kwenye refinery yake na CNOOC ni mchina anachimba crude oil apeleke kwake, ww unatuletea siasa za alinacha za kuota mchana kuhusu vitol? ile ilikua danganya toto baada ya tonge kuondoka mdomoni full stopKwan EACOP imeanza lini na dangote kaanza pumba zake lini, alafu total na dangote nan anajua zaidi kuhusu bishara ya mafuta na nan anategeneza ela chafu zaidi ya mwenzake, tukianza apo nigeria tu serikali imerudi kuimport petrol na wana dangote mzawa 😂😂😂😂😂😂
mtu hawezi leta machinery imejaa meli mbili za over 3000 metric tons alaf unambie anafanya propaganda. hayo unayoulizia ww huwez kuyapata kwasababu huna access nayo ikiwa mkataba wa DP world huna access nayo kama mtanzania vipi unaulizia project ya watu?Chief, unafikiri investment ya 17bn dollars ni kama kuuza chapati? Hujiulizi unaleta construction equipment kwa kujenga refinery; financing arrangement imefikia wapi? Equity ya Dangote ni ngapi, na finance arranger ni bank gani, nani ana insure hiyo loan na pia is there any contract in place for the project na contractor? What are the financial, legal, and commercial terms agreed? Propaganda huwa ina mwisho wake.
1) icho girl mda wa kuolewa umefika, EACOP imeanza miaka mingi kabla hata ya dangote, yeye kaja kaikuta na mpango wa refinery ulikuepo toka mda mrefu including na ile ya hoima and infact m7 alisema kabisa ile sku ya uzinduzihii ndio ukiskia akili za kichawa ndio hizi, total anachimba crude oil apaeleke kwake kwenye refinery yake na CNOOC ni mchina anachimba crude oil apeleke kwake, ww unatuletea siasa za alinacha za kuota mchana kuhusu vitol? ile ilikua danganya toto baada ya tonge kuondoka mdomoni full stop
apo vp?mtu hawezi leta machinery imejaa meli mbili za over 3000 metric tons alaf unambie anafanya propaganda. hayo unayoulizia ww huwez kuyapata kwasababu huna access nayo ikiwa mkataba wa DP world huna access nayo kama mtanzania vipi unaulizia project ya watu?
Umeambiwa muda mrefu sana humu ndani lipia AI acha free versions utalishwa matango poriUnakuanga Jamaa wa uongo Sana. The country that brought Vitol was Uganda and not Tanzania 😂😂🤣
View attachment 3696703
BTW wewe kama una akili sana tuambie mafuta anaenda kutoa wap maana unaonekana una mdomo kuliko akilimtu hawezi leta machinery imejaa meli mbili za over 3000 metric tons alaf unambie anafanya propaganda. hayo unayoulizia ww huwez kuyapata kwasababu huna access nayo ikiwa mkataba wa DP world huna access nayo kama mtanzania vipi unaulizia project ya watu?
mbna izo tunazo nyingi tu plus mpya ingine inajengwa, alafu ukanda huu amna mwenye viwanja vyenye standard kuliko sisindio dunia ilipo sasa
Na wewe je? Unafaidikaje na kuolewa kwake?
mradi wa propaganda ule, yaaani mpaka afrika nzima ichange ndo pajengwe 🤣Mwambie kuwa hii ni FDI, not like the fictitious equity financed refinery in that poor lamu.
vp kenya wapo wap? au hawataki kupunguza umaskini 🤣ukiskia tunavojisifu utashangaa alaf unahitaj kupunguza umaskini na kuvutia wawekezaji tanzania bei ya umeme ni 0.13$ yani zambia, congo landlock countries ethiopia wana bei rahisi ya umeme
View: https://www.instagram.com/p/DekLv9kuyAs/?rpxt=MWlzd2FmZjRiNnByZw==
trust me broThree times you say, where is the evidence?
Hizi ndo project tunatakiwa tuzifanye nyingi na kwa kasi ili kuimprove maisha ya watanzania , Viwanda . Nasikia kuna kiwanda. Kimoja kikubwa kwa kuzalisha Solar products panels etc kwa Africa
Hapo nilipo bold uko sahihi na japa huyu maza alipuyanga sana.
sasa shida iko wap icho girl?
Ukikataa kuchangia wananuna, m7 amekataa kuchangia wamepiga mayowe nchi nzimamradi wa propaganda ule, yaaani mpaka afrika nzima ichange ndo pajengwe 🤣
Do you know how to conduct a research? You are showing Tanzanian FDI research while on the Kenyan side you showing the FDI target between Kenya and Tanzania.Njia ya muongo huwa fupi 👇
Comparative FDI Overview (2024–2026)
- FDI Inflows: UNCTAD estimates show Tanzania attracted approximately $1.7 billion in FDI inflows compared to Kenya's $1.5 billion. [1]
- Total FDI Stock: Tanzania's total FDI stock stands at nearly $21.7 billion, outperforming Kenya's total FDI stock of roughly $12.7 billion. [1]
- Recent 2026 Activity: In the first quarter of 2026 alone, Tanzania recorded $1.137 billion in total General Investment Society (GIS) capital—split between $579.54 million in FDI and $557.86 million in domestic investment—led heavily by Chinese and regional investors. [1, 2]
- Bilateral Targets: During the Tanzania–Kenya Business Forum 2026, leaders set a joint target of $504 million in cross-border investments and $1 billion in bilateral trade to be pursued through the removal of non-tariff barriers by mid-2026. [1]