Kijana wenu ameolewa.
So Kenya ndio hakuna ardhi kubwa na bandari? You are reasoning like someone who has smocked bang already.Ila bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?
Hapa naona both the Skyboxes and the Presidential Lounge and Pavilion. Kuna wenye wanataka kulazimisha presidential lounge to be a Skybox ππDaily Dose,
View attachment 3696554
Na wewe je? Unafaidikaje na kuolewa kwake?Ndio, anaishi hapo State House. Anapanga ratiba za nyumbani hapo na namna ya kuwapanga vijana wa kunyaland.
Yani hata pale twitter na facebook wakiona random person anasifu Talanta Stadium, wanakuja na ile picha ya presidential lounge.ππHapa naona both the Skyboxes and the Presidential Lounge and Pavilion. Kuna wenye wanataka kulazimisha presidential lounge to be a Skybox ππ
kinachotoka uganda ni crude oil ambayo inaetakiwa kua exported kwenda nchi za nje kwenye refineries, hakuna refineries itajengwa tanzania bro ile ilikua siasa danganya toto ya kupunguza hasira baada ya kukosa dili la dangote, na kama ingekua kujengwa refineries basi ingejengwa hoima uganda na sio vinginevyo, bro mark my words ni pigo kubwa sana tumelipata kama taifa hata kama ukweli ni mchungu but hio ndio realityIla bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?
They are even embarrassing themselves. Every country in Africa is praising Talanta as among the top 5 best stadiums in entire Africa, the only country suffering from that declaration is Tanzania.Yani hata pale twitter na facebook wakiona random person anasifu Talanta Stadium, wanakuja na ile picha ya presidential lounge.ππ
Mimi huwa sipigizani kelele saana, suala la muda tu. Muda utafika na utakimbia humu.Hapa naona both the Skyboxes and the Presidential Lounge and Pavilion. Kuna wenye wanataka kulazimisha presidential lounge to be a Skybox ππ
Hebu panga hiyo list πππThey are even embarrassing themselves. Every country in Africa is praising Talanta as among the top 5 best stadiums in entire Africa, the only country suffering from that declaration is Tanzania.
Muda gani? Kama kuna Skybox in Arusha then tuonyeshe, after umetuonyeshe go ahead and show us presidential lounge as well hapo Arusha Stadium.Mimi huwa sipigizani kelele saana, suala la muda tu. Muda utafika na utakimbia humu.
No stadium in Tanzania even appears in top 50, so just relax and enjoy the show.Hebu panga hiyo list πππ
ingekuja tayar ni mafuta ready for use for export au whatever lakini usinambie uganda ye hataki investment ya refinery ambayo ni huge investment ya over may be 18b usd alaf kumbuka mafuta yanayochimbwa uganda mbia mkubwa ni TOTAL na CNOOC so unategemea mfaransa na mchina waache kupeleka crude oil kwao ili kuendelea kutengeza ajira makwao wakuletee wewe uliesinzia na kulala umebakia uchawa all the time? πππunajua nn kuhusu refinery icho girl π€£ π€£ ulitaka ajenge refinery uganda alafu auze vp kwenye ships π€£π€£π€£π€£
haya mambo yaache sahau kitu kinaitwa refinery, hakuna cha muda wala wakati, yani vitol bahrain atoe ajira kwake aje akuletee ajira kwako wakat crude oil yenyewe sio yake ni ya total na CNOOCππππππ»ππ»ππ»Tunaeza bishana hapa mpaka kesho kutwa, mimi naliacha kiporo hili jambo, muda ndio utaleta majibu.
hio ndio source yako? taifa limetoka kwenye watu wenye akili limeingia kwenye uchawauko kama lijinga π€£π€£ yaaani unashidwa hadi na wakenya wenyewe
View: https://www.youtube.com/watch?v=KA149chJsJk&pp=ygUPc3R1ZmYgZXhwbGFpbmVk
Siku zitafika na nitakupa risiti zako.haya mambo yaache sahau kitu kinaitwa refinery, hakuna cha muda wala wakati, yani vitol bahrain atoe ajira kwake aje akuletee ajira kwako wakat crude oil yenyewe sio yake ni ya total na CNOOCππππππ»ππ»ππ»
hio ya vitol ilikuja baada ya dangote kuchagua kenya hio inaitwa political mindset
Kujipa umuhimu haikatazwi kaka. we jipe tu umuhimu. ππππNo stadium in Tanzania even appears in top 50, so just relax and enjoy the show.
tena itunze hio receipt vzr na mm kadiri ya muda na miaka inavokwend nitakua nakutag ili unipe mrejeshoSiku zitafika na nitakupa risiti zako.