Endelea kushangilia Mali za warabu. Watanzania genuine like you what you do better is gossiping and begging.Wewe endelea kulia tuu... Sina Cha kukusaidia hapo!
Uwekezaji wa Amsons ni faida kwa Tanzania. Kama pia Taifa gas inavyochukua soko la Gas kunyaland na kuirudisha pesa nyumbani Tanzania.
Tuzilinganishe basi ground, tuone, fala mwenzako alileta huu mjadala juzi kati akaacha ndala.Samia housing is just affordable housing with a different name.😂😂
I’m glad you are now seeing your people the way we have been doing so for the last 10 years (very thick headed) 🤣🤣mm hata ukinijua itsaidia nn, au ndio italeta maendeleo 😂😂😂😂😂😂 picha zangu na personally ndio itasaidia nn
dangote aim yake ilikua tanga lakini kiongozi anaulizwa anasema hana taarifa unategemea hilo tonge litakaa likusubiri uwe na taarifa ? tuongee ukweli bila uchawa hio project imetuuma ndio maana kuzima huo moto tukaandaa vitol aje tufanye maigizo ya danganya toto ili kutuliza maumivu na presha za watanzania
Uzuri nyie wote ni wakubwa zangu humu na ni watu ninaowaheshimu..Tuache sababu za Dangote kutowekeza Tz maanake kila mtu anasema lake. Honestly unataka kusema Dangote angewekeza Tz tusingenufaika? Na kuacha kuwekeza Tz hatujapoteza kitu?
Kumbe hii vumbi umeshinda ukiimba kila kukicha ni projection ya your own village of mbeya issues 🤣🤣🤣mbna ndo nairobi hio, unaitukana tena 🤣🤣🤣
View attachment 3696375
Endelea kushangilia Mali za warabu. Watanzania genuine like you what you do better is gossiping and begging.
Uzuri nyie wote ni wakubwa zangu humu na ni watu ninaowaheshimu..
Dangote angewekeza ni sahihi kuwa tungepata faida, lakini ujio wake ulikuaje.? Je ilikua sahihi sisi tuwekeze na Kenya kajipenyeza humo humo.? Hata huyo museveni asingekubali kupigwa collabo na mafuta yake.. Dangote ni miwekezaji ambae aliletwa na wakunya ndio walianza kumpiga sound, serikali ilikua sahihi kumpiga za uso kwa maslahi mapana yetu sisi Tz pamoja na mshirika wetu UG .. huoni sasa tunayo room ya kujenga wenyewe bila kelele.?
The last time these things took off, Nyerere was still president 🤣🤣mwaiofhawaii labda mshinde mdomo 🤣 🤣
View attachment 3696380
View attachment 3696381
View attachment 3696382
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/theborderlines001/posts/africa-view-facts-reports-that-uganda-operates-six-russian-made-sukhoi-su-30mk2-/122124749948873065/
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaaani hii ni used alafu ni ya miaka 60 nyuma 🤣🤣🤣🤣 mpaka ina kutu
View attachment 3696383
A huge dust cloud and very strong foul smell swept across mbeya, with residents experiencing dusty and fart conditions.😂
Hapa Tanzania tunataka kiwanda cha ku assemble Yutong kwa sasa maana tunanunua nyingi sana kwa mwakaMambo ya Board Making watu walishajaribu hapa Tanzania wakaona biashara hailipi. Biashara inayolipa hapa Tanzania ni ya Truck Assembly. Ndio maana watu wamewekeza huko. Kuna zaidi ya viwanda 5 vya Truck Assembly hapa Tanzania. Hii ni kutokana na Construction, Mining (Tanzania, DRC, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda, Zimbabwe nk). Watu wanafungua viwanda kwa kuangalia faida. Wakenya wanafanya vitu kwa sifa, sasa kakuonesha basi mbili hizo ndio soko lote la mabasi Tanzania?
Uganda wapo na Assembly ya basi za umeme lakini tuliwapiga chini kwenye SGR maana hawajafika kiwango.
Siyo kila kitu wakifanya wengine lazima na sisi tufanye.
Okay relax PatrickWatanzania genuine Sasa hivi ndio tunapangilia sera za vijana wa kunyaland hapo. Kijana wetu Isaya anamtuma Charlene kumpangia Kasongo namna atawapanga mafala wa slums.
Mbona unatokwa na povu?English comprehension is your main problem. Should I rewrite in Swahili. The issue was economy not colonial boundaries. I was bringing attention to the fact that Kenyans run a major part of Arusha , Moshi and other Tanzania regions economy. There is a reason I even brought up kikuyu street in Arusha. So now explain yourself how has that to do with Maasai being on both sides of the border. Don’t let ignorance hit you on your way back to response 😜🤣🤣
Okay relax PatrickView attachment 3696477
inasaidia nn taifa hii miss grand boss??? au tuwe machawa tuMiss grand ni taji mkubwa, wala sio hela. Unajua team za EPL for instance zinawekeza sh ngapi.? pesa za kulipa wachezaji kila wiki, maintenance za viwanja vyao, gharama za usafiri, malazi ya wachezaji wakiwa kambini, na experience zingine.?
Je kombe linathamani kuzidi gharama wanazotumia kushindania.?
so kwa akili yako unadhani vitol atajenga refinery tanga? hio ni danganya toto mzee ile ilikua siasa ya kufunika vuguvugu hili la dangote, mafuta ya uganda yanakuja huku kama crude oil ambayo ni export, yani uganda aache kujenga refinery kwake aje akupigie debe kwako wakat mafuta ni yake😂😂😂😂😂 kweli uchawa ni cancer ya hili taifaUzuri nyie wote ni wakubwa zangu humu na ni watu ninaowaheshimu..
Dangote angewekeza ni sahihi kuwa tungepata faida, lakini ujio wake ulikuaje.? Je ilikua sahihi sisi tuwekeze na Kenya kajipenyeza humo humo.? Hata huyo museveni asingekubali kupigwa collabo na mafuta yake.. Dangote ni miwekezaji ambae aliletwa na wakunya ndio walianza kumpiga sound, serikali ilikua sahihi kumpiga za uso kwa maslahi mapana yetu sisi Tz pamoja na mshirika wetu UG .. huoni sasa tunayo room ya kujenga wenyewe bila kelele.?
Bodaboda ni kosa kubwa sana.
we acha tu uchawa ni cancer ya hii nchi😂😂Duh kwahio timu za EPL zinashiriki ili zipate kombe tu?! Ha ha ha kazi ipo.
Ichoinasaidia nn taifa hii miss grand boss??? au tuwe machawa tu
kama hali yenyewe ndio hiii
View: https://www.instagram.com/p/DeZkGt2Ft7v/?rpxt=emp4OGl2NnZ5Z2Jj
View attachment 3696492
Huyo anaonesha hisia zake badala ya uhalisia.Icho
Hizi takwimu ni za kupika.