Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This investment will benefit Kenyans in terms of taxes and employment and this Arab owner. Tanzania will not benefit from this deal.

Mbona kinyongee sana sasaa....

Hiyo tax ndio ataichukua Tena kwa mlango wa nyuma kufidia gharama za uwekezaji wake. Ni kuwatumikisha tu kama manamba hapo. HQ ya Amsons na familia yake wako wapi? Bhas faida yote ndio inakwenda hukoo...
 
Mbona kinyongee sana sasaa....

Hiyo tax ndio ataichukua Tena kwa mlango wa nyuma kufidia gharama za uwekezaji wake. Ni kuwatumikisha tu kama manamba hapo. HQ ya Amsons na familia yake wako wapi? Bhas faida yote ndio inakwenda hukoo...
Anadhan investors wapo pale kuwaletea ela wale 🤣 🤣 🤣
 
Mzee. Siasa zako hizo za maji taka sizitaki. Unaujua moto wangu, nikikugeuzia kibano ninauhakika utaniweka kwenye ignore list. Ninakujua personally na picha zako ninazo. Usinijaribu.
Acheni mambo hayo.
Hakuna haja ya ku-go offensive dhidi ya watu walioa amua kuwa tofauti na kuungana na wakenya. Hao watapoa.

Mimi.pia simkubali Samia na unajua hili but siwezi take that offensive route dhidi ya nchi na watu.
 
About $2 billion injection into kenya with this move excluding the refineryView attachment 3696312
we ndo fala la mwisho 🤣 🤣 🤣 Hata nigeria where he originates havent done such as stupid thing, alafu hakuna something like injection, he is there to do business make a profit and return back his money plus non ending profit even after his investment money is back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…