Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upo nyuma ya muda mdogo wangu. Hivi unajua Miss Universe Owned 50:50 and one half of it Owned by Miss Grand International?

Miss Grand International Owns Miss Universe. Mambo ya Urembo na Ulimbwende na Kenya ni Mbingu na ardhi
 
Also Boss wa Miss Grand International huyo Mthailand aliyekuja Tanzania ni mmoja wa Maboss na wamilik wa Miss Universe

Toka Kibera mdogo wangu, unapitwa na mengi
 
Also Boss wa Miss Grand International huyo Mthailand aliyekuja Tanzania ni mmoja wa Maboss na wamilik wa Miss Universe

Toka Kibera mdogo wangu, unapitwa na mengi
tunatumia 750m ku support miss grand jehan ashinde alafu yeye anapata million 85 alaf tunashangilia πŸ˜‚πŸ˜‚ uchawa tu ndio kazi iliobakia
 
tunatumia 750m ku support miss grant jehan ashinde alafu yeye anapata million 85 alaf tunashangilia πŸ˜‚πŸ˜‚ uchawa tu ndio kazi iliobakia
Mzee. Siasa zako hizo za maji taka sizitaki. Unaujua moto wangu, nikikugeuzia kibano ninauhakika utaniweka kwenye ignore list. Ninakujua personally na picha zako ninazo. Usinijaribu.
 
wakina nan hao wako mbali, because bmw wanaweza kufungua tawi tanzania but sio kiwanda 🀣🀣🀣 lakini pia huezi kusema bmw ni ya watanzania, sjui unaelewa mandonga?
bmw wataekeza vp na mazingira wezeshi ni mabovu, rushwa na ufisadi umetamalaki, bmw ikiwekeza tanzania itaitwa bmw from tanzania kama tunavoita under licence toyota from kenya and south africa.
 
Mzee. Siasa zako hizo za maji taka sizitaki. Unaujua moto wangu, nikikugeuzia kibano ninauhakika utaniweka kwenye ignore list. Ninakujua personally na picha zako ninazo. Usinijaribu.
mm ni hua nasimama na ukweli na facts mm sio wale machawa wakusifia upumbavu na upuuzi, labda ww ni mgeni sana huku waulize wenzako watakwambia mm ni nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mm ni hua nasimama na ukweli na facts mm sio wale machawa wakusifia upumbavu na upuuzi, labda ww ni mgeni sana huku waulize wenzako watakwambia mm ni nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huna facts zozote, unaandika uongo na kutaka kuchafua watu usiowajua.
I told you ninakujua binafsi. Na tulishawahi kukutana mara kibao tu lakini wewe hunijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…