look whoβs complaining about picha zamani π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£β¦.ni kwamba huo uwanja umepiga mahali pake nn mpaka ukatumia picha za zaman ππππ unauogopa nn
mbna pako freshi tu π π eti mwaiofhawaii was this the BYUTIFICATION ulikua unaongelea
View: https://x.com/ChaliKisogo/status/2110287670391824542?s=20
si ndo ukwel sasa π π π uwanja ushaisha ndan watu wanadeal na nje saaahv bado picha za construction unazo πππ it shows jinsi pain has landed where its supposed to be, everyday we post latest talanta photos but nyie mpaka leo mna hio staircase, PAIN has landed where its supposed to land πππππππlook whoβs complaining about picha zamani π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£β¦.
alafu mbna issue ya BYUTIFICATION unaikimbia sana shida nn π π ulikua unatukataa mwanzo? shida nn mzee wa $3K
Niko na yeye hadi akubali. Hatutaki ujinga. Mbilikimo kuja hapa.Ila umempiga mbilikimo makumbo hadi wakaungana na huyo lofa mwengine kupigana na msichana.ππ
Uzuri mimi ni shabiki mzuri wa mpira na huwa naendaga kuangali ball viwanjani kabisa, tabia yangu tangu utotoni. Sijawahi kukuona kwenye uwanja wowote stupid. πππ we zako labla kupita nje ya uwanja kwa mbaaali halafu upige picha 1km away from the stadium ndio uje upost humu.
Tena wewe mkundu kunuka ulipita hapo chuga uwanja ukiwa ndio kwanza wanaeka machuma πππ
Have you ever been inside any stadium before.?
hii project inaenda mpaka mlandizi
ziko site 2, kuna sehem ingine wanajenga chako ni chako na apo mtumba, zikiisha izo apo unateleza tu toka mpaka dodoma kwa gesi upande wa pili unapiga umeme