Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Uongo mtupu😂Nimetembelea kote mpaka uswazi yao...kenya kimiundombinu wako mbali sana kutuzidi bongo...propaganda hazitatusaidia kitu, tukazane kujenga mabarabara na nyumba za makazi...tatizo la Kenya ni ile madhare na kibera tu kwingineko wako njema...labda tuwakosoe kwenye sembe na miraa ila infrastructures wako mbele masaa