Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fumba stadium wameshaanza kuweka viti. Halafu vyote ni foldable.
View: https://vt.tiktok.com/ZSbcXN3wb/.

Kusema ukweli huu uwanja ndio mimi huona Bngolala walijaribu. Pure football stadium, uwanja unaonekana vizuri lakini sio huo upuzi wa Masidisi Benzi mnajaribu kufanya kule Arusha. Interestingly, huu uwanja ni copycat ya Talanta stadium - It's just a smaller lower budget Talanta stadium, the same Talanta yenye mavumbistani wengine humu husema ni poor design yet utayapata yanasifia Fumba yenye cheaper replica ya Talanta.
 
Kundudwellers kila mtu anawajua kwa petty issues
 
The ngong cowshed looks ugly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usijipendekeze mjomba. Ipo clear kabisa uwanja wa Arusha is far better than any stadium in the whole region, it’s unique designs n everything, beautiful na amenities za kisasa, details za kizungu kabisa. Talanta ni joke bro, wew komalia hapo hapo kwenye capacity. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hivyo viwanja vyote tunajenga sisi na tunajua uwanja upi tunaupa thamani ya kipekee kabisa.
 
Manjua wewe na Nani na hujawai Fika hapoπŸ˜‚πŸ˜‚
Mbikimo yawa. Fake it till you make it.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Manjua wewe na Nani na hujawai Fika hapoπŸ˜‚πŸ˜‚
Mbikimo yawa. Fake it till you make it.πŸ˜‚πŸ˜‚
huo ndo ukwel sasa unataka kulia au πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ndo the only modern designed stadium, wengine wote mmejenga sahani na nyie mkamalizia karai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…