Nilikua sijui kama nabishana na chizi,maku dont skip your mental health pills๐๐Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.
Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
Best roads unamaanisha nini?Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.
Unamaanisha nini, siyo ya uhakika?Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Longest unamaanisha ngapi?Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
Kavimbiwa na njaa uyo ๐๐๐Best roads unamaanisha nini?
Unamaanisha nini, soyo ya uhakika?
Longest unamaanisha ngapi?
Aisee,.unatumia Mirungi, visungura au ndio hukubahatika kuzaliwa na akili?
Nilikua najibu huu upuuzi uliojaribu kuudanganya umma lakini. ๐๐พ nimekujibu right.? Au ni nongwa za Chadema ndio umeleta humu. ๐๐๐Hili likiwanja la Olympic lina hivi viti VIP tu!
Viti kwingine kote ni kama vya walemavu unaenda na kukaa havikunjiki, vya Talanta stadium the whole stadium vinakunjika
N who told you kwamba viti vyote Talanta stadium vinakunjika.? Unaleta uongo wa heche huku kwa wasomi jomba.? ๐๐๐๐Hakuna uwanja bongo una viti kama hivi, bongo hakuna express way, bongo ni kunanuka kila baada ya mitaa miwili
Toka airport hadi banda la ngozi kuna maeneo mawili yananuka ajabu
Tabata mwananchi pananuka, mombasa kuna machinjio ๐คฎ๐คฎ
Shekilango ๐คฎ๐คฎ๐คฎ Mlalakuwa ๐คฎ๐คฎ๐คฎ
Chadema inahusika na nini umasikini wa maendeleo uliopo Tanzania?Nilikua najibu huu upuuzi uliojaribu kuudanganya umma lakini. ๐๐พ nimekujibu right.? Au ni nongwa za Chadema ndio umeleta humu. ๐๐๐
N who told you kwamba viti vyote Talanta stadium vinakunjika.? Unaleta uongo wa heche huku kwa wasomi jomba.? ๐๐๐๐